Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Swaligumu saana kwa wa allah akibaruNaomba nijulishwe zaidi ,kwanini watu(haswa wa upande wa mama mdogo kama wewe) wanasikitika kiongozi wa hamasi kufyekwa na Israel?
Hata kiongozi wa al qaida Osama bin laden alipouwawa Kuna watu walilalamika ,Je Kuna ukweli wowote kua haya makundi ya kigaidi yanatekeleza mafundisho ya Uislam?
Maana mara nyingi wengine usema hayo makundi yanajivika Uislam lakini sio waislam ,
Why kifo hiki kiwe huzini na si shangwe? The Mongolian Savage