Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa hiyo,ile Israeli tunayoisoma kwenye torati/agano la kale(waislamu kwa wakristu)ilikuwa wapi kieneo/geographical location?HAMAS ni kundi la Kigaidi...?
Palestine ilivamiwa na walowezi mwaka 1948.
HAMAS ni Freedom fighters, kama walivyokuwa Mkwawa, Kinjekitile, na wapigania uhuru wote wa Africa dhidi ya ukoloni.
Au Kama kupigania uhuru wako ni sawa na UGAIDI, basi Africa ni bara la Magaidi kwa sababu mataifa mengi ya Africa yalipambana kudai uhuru wao kutoka kwa wakoloni kama HAMAS inavyo pambana leo dhidi ya Israel.
Hii vita ya HAMAS na Israel haitoisha leo wa kesho, ceasefire itakuwepo kwa miezi au miaka lakini kitawaka tena na muanzilishi lazima awe ni HAMAS kwa sababu yeye ndiye anadai uhuru.