Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

Je wanaweza fanya hivyo bila mjini wa blood sucker _ USA?
 
Nilichoelewa
Huu mgogoro ni wa muda mrefu na ni wa Kidini tangia enzi za Mitume Ndio mana hawa Wayahudi wanetajwa sana kwenye hizi Dini 2. (QUR'AN And BIBLE)
Kama unaifahamu historia na geneology ya hawa wafuatao wala hupati shida ya kujua mgogoro unatoka wapi.
1. Waamori
2. Waamoni
3. WaEdom.
4. Waperizi
5. Wafilisti
6. Washami/Ashuru
7.Waamaleki
8. Waajemi
9. Wamedi

Ikiwa hawa watu huwajui asili, tabia, tamaduni na mila zao tafadhali mjadala wa waisraeli na waarabu jieupushe nao maana huna unachokijua.

Ndio maana hata dunia nzima ikusanyike dhidi ya Israeli bado Israeli itakuwa Mshindi.

Hii itakuwa maada ya siku nyingine. Kwa leo niishie hapa
 
Naomba nijulishwe zaidi ,kwanini watu(haswa wa upande wa mama mdogo kama wewe) wanasikitika kiongozi wa hamasi kufyekwa na Israel?
Hata kiongozi wa al qaida Osama bin laden alipouwawa Kuna watu walilalamika ,Je Kuna ukweli wowote kua haya makundi ya kigaidi yanatekeleza mafundisho ya Uislam?
Maana mara nyingi wengine usema hayo makundi yanajivika Uislam lakini sio waislam ,

Why kifo hiki kiwe huzini na si shangwe? The Mongolian Savage
Uislam =ugaidi

Huwezi tenga mafundisho ya kiislam na ugaidi.

Chunguza madrassa uone sumu ambayo watoto wanalishwa.

Wale wa Kisarawe waliotimuliwa na DC mambo ni hayo hayo.


Niliona Madrasa moja USA River Arusha watoto wa umri wa miaka 4 au 3 wanafundishwa karate msikitini kwa kivuli cha elimu ya dini.
 
HAMAS ni kundi la Kigaidi...?

Palestine ilivamiwa na walowezi mwaka 1948.
HAMAS ni Freedom fighters, kama walivyokuwa Mkwawa, Kinjekitile, na wapigania uhuru wote wa Africa dhidi ya ukoloni.

Au Kama kupigania uhuru wako ni sawa na UGAIDI, basi Africa ni bara la Magaidi kwa sababu mataifa mengi ya Africa yalipambana kudai uhuru wao kutoka kwa wakoloni kama HAMAS inavyo pambana leo dhidi ya Israel.

Hii vita ya HAMAS na Israel haitoisha leo wa kesho, ceasefire itakuwepo kwa miezi au miaka lakini kitawaka tena na muanzilishi lazima awe ni HAMAS kwa sababu yeye ndiye anadai uhuru.
Hamas ni chama cha kisiasa chenye muelekeo wa Kiislamu; wafuasi wake wanafuata madhehebu ya Sunni.

Kaka waliwaanza wenzao wenyewe 7 0ct walichofanya ni ugaidi,Ugaidi si lazima kundi lijitangaze magaidi Bali matendo Yao,Wanachopata nao au kilichotokea Iran usiku wa Tar 31 ni majibu kwa walichoanzisha wao.

Ningefurahi kama ungejibu maswali yangu mkuu
 
Hawana ujanja hao bila Mmarekani na Muingereza.
Sio hao tu ,nna mashaka imamu kachomwa na fellow Muslims,amekua akiishi Qatar,misri lakini hasomeki,Kaenda Iran kasomeka ,Israel watakua walipewa location au matumizi ya teknologia yalitumika,Inasemekana kaponzwa na Whatsapp

Kama wamemchoma ndugu zake/zenu katika Imani ni jambo jema kwakua Inaonyesha bado Muslims wapenda amani wapo
 
Back
Top Bottom