Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

Hapo utakuta hao wote pichani wana background za kutoka katika vikosi maalumu kabisa vya kijasusi na kijeshi, yaani ni top qualified personell kwenye kazi...unaweza kudhani huyo dada kazi yake ni kuandika tu kumbe unajidanganya, mtoto mzuri kama huyo hutaamini siku akikukata mapu*bu.
 
Wale ni wakimbizi.
Huwezi vamia eneo la watu, na wapo hapo kwa miaka mingi na kusema ni eneo la mababu zako.

Asilimia kubwa ya sisi tunaishi kwenye maeneo ambayo mababu zetu hawakuzaliwa, So...inabidi tuanze kutafuta asili ya mababu zetu ili twende tukakae huko hata kama tutakuta wenyeji tutawatoa kwa nguvu.
Wao wanajua hapo ndipo kwao kiasili.Wewe hutaki tu kwa hoja zipi?Na wewe tafuta kwenu.
 
Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.

View attachment 3058213
Kwa macho ya kawaida ni kikao cha kawaida sana, ila kiuhalisia hili ni picha la kutisha


Ukishaona hivi tu ujue siku sio nyingi kifuatacho ni Press conference ya Daniel Hagari😂

Utasikia tu ukungu sio ukungu, mara uapisho sio uapisho, ila ndio bye bye lishadondoka jitu na tayari yupo zake ndichi analumbua ma-BK 72
 
Kwa macho ya kawaida ni kikao cha kawaida sana, ila kiuhalisia hili ni picha la kutisha


Ukishaona hivi tu ujue siku sio nyingi kifuatacho ni Press ya Daniel Hagari😂

Utasikia tu ukungu sio ukungu, mara uapisho sio uapisho, ila ndio bye bye lishadondoka jitu na tayari yupo zake ndichi analumbua ma-BK 72
Mbona Syria wamefeli? Hao jamaa bila USA ni wepesi tu
 
Naomba nijulishwe zaidi ,kwanini watu(haswa wa upande wa mama mdogo kama wewe) wanasikitika kiongozi wa hamasi kufyekwa na Israel?
Hata kiongozi wa al qaida Osama bin laden alipouwawa Kuna watu walilalamika ,Je Kuna ukweli wowote kua haya makundi ya kigaidi yanatekeleza mafundisho ya Uislam?
Maana mara nyingi wengine usema hayo makundi yanajivika Uislam lakini sio waislam ,

Why kifo hiki kiwe huzini na si shangwe? The Mongolian Savage
True,
Malaria 2, Ritz, FaizaFoxy..
Njoni mtoe ufafanuzi.

Kuna wakati wanawakana magaidi na kusema ni mradi wa mabeberu, ila wakiwahishwa kwenye mito ya pombe na mabikra wanasikitika na kulalama.
Unafiki pro max huu
 
Wao wanajua hapo ndipo kwao kiasili.Wewe hutaki tu kwa hoja zipi?Na wewe tafuta kwenu.
Wakija watu hapo kwako na wanakwambia hilo eneo aliishi babu wa mababu zao na wanahitaji uondoke kwa hiari au kwanguvu...utakubali...?
 
Biblia Gani
Soma Mwanzo 10 inaonyesha mjukuu wa Ham yaani Canaan akipewa eneo lililopo israel ya leo. Then njoo usome Mwanzo 12:1-9 inaonyesha Abraham alitokea nchi gani. Then njoo usome Mwanzo 35 Yakobo alizaa na wanawake wa nchi gani hao watoto wake. Then uje usome Joshua 1-12 utaona walivyovamia nchi ya watu na kuchinja kila kitu kisha kuigawana nchi.

So basically canaan ilikua sio ya wayahudi hao ila waliipoka kutoka kwa makabila 13 ya canaan yaani vizazi vya mjukuu wa Ham. Soma hata mwanzo 13 Jerusalem tayari ilikua na mfalme na kuhani hata kabla Abraham na Rutu hawajahamia canaan.
 
Kwani kuna shida gani inayosababisha Marekani asipigwe. Si waanze na mfadhili wake. Mbona israel inapiga hadi wafadili wa watesi wao
Acha uongo, Syria haikupigwa na israel sababu ya mkono wa urusi. Hao Israel kwanini hawakumshambulia Moscow?. Si wanajua hawamuwezi. So ukishakua na back up ya superpower vita utashinda tu.
 
na vita haitoisha hadi HAMAS wafe wote.
Hamas ndio palestina? Vuguvugu la kudai uhuru haliwezi kuishia kwa Hamas wote kufa nachojua recruitment ya Hamas ipo juu kuliko hata kabla ya vita. Yaani katika wapalestina million 13 kote duniani zaidi ya 80% ni sympathisers wa Hamas so haiwezi kufa leo wala kesho unless waue wa palestina wote.
 
Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.

View attachment 3058213
Mkuu sio kwamba nchi zingine zinashindwa kuwalenga viongozi wa juu wa nchi zingine ama nchi ya kigaidi kama Israel bali wanafanya maamuzi kwa utu ndiyo maana utakuta wanapiga maeneo muhimu ya miundombinu ya kijeshi hawagusi hata nzi.

Usidhani wakianza kuwinda kichwa cha Netanyahu watashindwa lahasha!

Sana sana atakuwa anafanyia kazi zake za uwaziri mkuu kwenye mahandaki na Waisraeli walivyo waoga wa kufa hatoonekana hadharani.
 
Back
Top Bottom