dume30
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 549
- 530
REST IN PEACE IMAM ACHA AKAFAIDI MABIKRA PEPONI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
REST IN PEACE IMAM ACHA AKAFAIDI MABIKRA PEPONI
Kuna jamaa anampelekea motoMwanamama kamanda huyo
Hahahahaha, hilo tena una ulizaKuna jamaa anampelekea moto
Zama hizo.sisi HATUTAKUWEPO.ni zama za mwisho mwisho huko.kila mara nawaambia hyo vita ni saa ya mwisho wa dunia.au ALARM ya mwisho wa dunia.watapigana,wataacha,watapigana,wataqcha.mpaka siku itafika kipigo kitabadilika.na hapo ndipo yesu au nabii issa atakaporudiAtapigwa ndotoni
Mkuu karatee zina shida gani? Leta hija nyingine hata mimi nitakupinga.Uislam =ugaidi
Huwezi tenga mafundisho ya kiislam na ugaidi.
Chunguza madrassa uone sumu ambayo watoto wanalishwa.
Wale wa Kisarawe waliotimuliwa na DC mambo ni hayo hayo.
Niliona Madrasa moja USA River Arusha watoto wa umri wa miaka 4 au 3 wanafundishwa karate msikitini kwa kivuli cha elimu ya dini.
OCTOBER 7 ilkuwa ni muendelezo..HAMAS Hawataacha harakari za kudai uhuru wa Palestine.Hamas ni chama cha kisiasa chenye muelekeo wa Kiislamu; wafuasi wake wanafuata madhehebu ya Sunni.
Kaka waliwaanza wenzao wenyewe 7 0ct walichofanya ni ugaidi,Ugaidi si lazima kundi lijitangaze magaidi Bali matendo Yao,Wanachopata nao au kilichotokea Iran usiku wa Tar 31 ni majibu kwa walichoanzisha wao.
Ningefurahi kama ungejibu maswali yangu mkuu
Harakati zao wanazifanya kwa njia za KIGAIDI ni lazima washughulikiwe kigaidi.OCTOBER 7 ilkuwa ni muendelezo..HAMAS Hawataacha harakari za kudai uhuru wa Palestine.
Moja ya nia ya Israel ni kuhakikisha ina pora ardhi yote ya Palestine..
Atakaye maliza hii vita ni Israel tu, aidha kwa kuwamaliza HAMAS au kuondoka kwenye ardhi ya Palestine.
Wakimbizi?Kwa nini wote wakapelekwa huko na si Argentina?Ukoo wa NETANYAHU ulipelekwa mashariki ya kati 1948 kama wakimbizi leo wanataka kuibeba Palestine yote kana kwamba walipakuta hakuna wenyeji.
Nachowapenda hamkati tamaa😁😁Kupigwa kwa israel mpaka achakae ni suala la muda
Unajua huyo mtu wa kwenye avatar Yako almanudura aisee jdna usikuMwanamama kamanda huyo
Israel hakuna waziri wa ulinzi.Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.
View attachment 3058213
Tena wanabisha Kwa nguvuHivi alqaida unaitenganishaje na uislam? Huwezi kuwa recruited kuwa gaidi wa alqaida bila kuwa muislamu vivyo hivyo boko haram and the like. HALAFU MAJITU YATAKUJA KUBISHA HAPA
Biblia GaniWametokea Syria huko na Iraq, mbona biblia ipo wazi kuwa hapo Canaan (Israel ya sasa) walivamia tu baada ya kuchinja wenyeji.
Hahahahaha, sijakuelewa almanusura jana usiku ? Nini kimetokea RafikiUnajua huyo mtu wa kwenye avatar Yako almanudura aisee jdna usiku
Muamini broo!Biblia Gani
Mwishoni mwa 1947, Umoja wa Mataifa ulipigia kura kugawanywa kwa Mamlaka ya Palestina na kuundwa kwa taifa la Kiyahudi na la Kiarabu katika eneo lake; Wayahudi waliukubali mpango huo, huku Waarabu wakiukataa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe vilianza, na Wayahudi walishinda vita.Wakimbizi?Kwa nini wote wakapelekwa huko na si Argentina?
Umeliona vizuri swali nililokuuliza?Mwishoni mwa 1947, Umoja wa Mataifa ulipigia kura kugawanywa kwa Mamlaka ya Palestina na kuundwa kwa taifa la Kiyahudi na la Kiarabu katika eneo lake; Wayahudi waliukubali mpango huo, huku Waarabu wakiukataa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe vilianza, na Wayahudi walishinda vita.
Israel ilizidi kujinyakulia maeneo ambayo yalimilikiwa na Palestine kwa mipaka ya Umoja wa mataifa.
Moja ya Demand kubwa ya HAMAS ni kurejeshwa kwa mipaka ya mwaka 1947.
Na hata hivyo Israel haiwezi kukubal hilo litokee, na vita haitoisha hadi HAMAS wafe wote.
Hapo hugusi mtuHuko nje ulinzi mkali
Kupata kichekesho andika MJINGA MIMI😂Kupigwa kwa israel mpaka achakae ni suala la muda
Wale ni wakimbizi.Umeliona vizuri swali nililokuuliza?