Hapa bado ndoa ipo au nimebakia na ndoano?

Mfano wa hayo mambo ambayo mume wako haya appreciate kutoka kwako, toa mfano Ili tupime uzito wa maneno yako vizuri.
 
Wewe hujawai kucheat ndani ya hiyo ndoa?
 
Mfano wa hayo mambo ambayo mume wako haya appreciate kutoka kwako, toa mfano Ili tupime uzito wa maneno yako vizuri.
Nafanya biashara ila siku ni kuibeza,kuna wakati tulikua tunajenga nikawa nasimamia ujenzi akija anasema umeachia mafundi wameiba simenti halafu imepunjika kwenye ujenzi unamwagilia anakwambia hujamwagilia vizuri,mtoto labda ameumwa hata homa anakwambia watoto huwapi chakula kizuri ndio maana wanaumwa hapo hataki wale mboga za majani,ndizi,ugali wala maharage
 
Hata sina hamu tena na wanaume kiungo cha uzazi kimekufa ganzi saa hii nawaza watoto wangu tuu
 
Dada wewe ni mnyiramba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…