Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wala siti huruma nipo bize na biashara tu ni vile nilitaka kujua kuna ndoa?Kuwa bize na maisha bana, jitahidi ukose muda wa kutia tia huruma......
Hili nalo nenoMumeo hajiamini kuna kitu unamzidi, elimu,akili ya maisha, u mzuri Sana au pengine ana tatizo la nguvu za kiume.kati ya hivyo vitu kuna kimoja kinamfanya asijiamini kwako!
Ndoa ipo dada, kama upo bize safi, endelea kuwa bize zaidi.Wala siti huruma nipo bize na biashara tu ni vile nilitaka kujua kuna ndoa?
Ndio napambana sasa nikiwa bize na yangu anahisi namdharauPambana na hali yako tu kama umeamua kubaki mpaka leo kwenye iyo Ndoa
Asante kwa ushauri nitauzingatiaOmbea Mume wako mama/baba.
Shetani amewaingilia kwenye ndoa zenu mpaka amewakamatia penyewe
Omba sana omba bila kuchoka
HapanaWala siti huruma nipo bize na biashara tu ni vile nilitaka kujua kuna ndoa?
Asante nitazidisha ubizeNdoa ipo dada, kama upo bize safi, endelea kuwa bize zaidi.
Hivi kuna mama anaependa kuona watoto wake wapate tabu ndio maana tunavumilia manyanyaso ili kuwalinda watoto wakue katika njia ya kumpendeza MunguAchaneni tu hao watoto wapate tabu ndio nia yenu
Ndoa ipo au mshaivunja kisheria? Je humpi tendo?Wala siti huruma nipo bize na biashara tu ni vile nilitaka kujua kuna ndoa?
Hakijafa ganzi hataHata sina hamu tena na wanaume kiungo cha uzazi kimekufa ganzi saa hii nawaza watoto wangu tuu
Sure, hapo ajue udhaifu uko wapi na ajue acheze vipi na akili yake ili ajiamini kama mwanaume.Mumeo hajiamini kuna kitu unamzidi, elimu,akili ya maisha, u mzuri Sana au pengine ana tatizo la nguvu za kiume.kati ya hivyo vitu kuna kimoja kinamfanya asijiamini kwako!
Uko wapi kwani?Asantee
Ndoa ipo hataki kutoa talaka vikao hataki hatushirikiani chochote ila tunaishi nyumba mojaNdoa ipo au mshaivunja kisheria? Je humpi tendo?
Umeongea kweli kabisa dear yaani wanajiona wakamilifu ila wanawake ndio wanakosea mara zoteHumu wanawake hawatakiwi kuleta malalamiko, utaambiwa wewe ndio una shida, JF is toxic men's society. Wanaume wa humu wanaakili sana kwenye mambo mengine ila sio kwenye mambo yanayo wahusu wanawake.
Kama huamini ninachosema soma comments, only few men ambao wapo open minded na wanafahamu kuwa wanaume wenzao pia huwa wanazingua ndio wametoa positive comments.
Siku unafunga hiyo Ndoa siuli kula kiapo madhabahuni pale basi tulia na mnaelekea kuharibu watoto naoHabari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.
Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?
Kucheat sio hadi uliweSijawahi
Pole, take heart sis, Weka focus katika kulea watoto kama una kipato, kama huna anza kutafuta.Umeongea kweli kabisa dear yaani wanajiona wakamilifu ila wanawake ndio wanakosea mara zote
Kwani nilikwambia sijatulia nachoogopa ni hyo kuharibika watotoSiku unafunga hiyo Ndoa siuli kula kiapo madhabahuni pale basi tulia na mnaelekea kuharibu watoto nao