Hapa bado ndoa ipo au nimebakia na ndoano?

Hapa bado ndoa ipo au nimebakia na ndoano?

Mumeo hajiamini kuna kitu unamzidi, elimu,akili ya maisha, u mzuri Sana au pengine ana tatizo la nguvu za kiume.kati ya hivyo vitu kuna kimoja kinamfanya asijiamini kwako!
Sure, hapo ajue udhaifu uko wapi na ajue acheze vipi na akili yake ili ajiamini kama mwanaume.

Ila na yeye ajichunguze isijekua ni aina ya wanawake roporopo, much know sana hao nao ni tatizo sometimes.
 
Humu wanawake hawatakiwi kuleta malalamiko, utaambiwa wewe ndio una shida, JF is toxic men's society. Wanaume wa humu wanaakili sana kwenye mambo mengine ila sio kwenye mambo yanayo wahusu wanawake.

Kama huamini ninachosema soma comments, only few men ambao wapo open minded na wanafahamu kuwa wanaume wenzao pia huwa wanazingua ndio wametoa positive comments.
 
Umeongea kweli kabisa dear yaani wanajiona wakamilifu ila wanawake ndio wanakosea mara zote
 
Habari WanaJamiiForums

Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.

Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.

Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?
Siku unafunga hiyo Ndoa siuli kula kiapo madhabahuni pale basi tulia na mnaelekea kuharibu watoto nao
 
Umeongea kweli kabisa dear yaani wanajiona wakamilifu ila wanawake ndio wanakosea mara zote
Pole, take heart sis, Weka focus katika kulea watoto kama una kipato, kama huna anza kutafuta.

Wanaume zetu "wengi" hawajalelewa kwa upendo, wao kumpa mtu mwingine upendo ni next to impossible. Wanawake tujifunze kujipenda na kujipambania. Kuhusu dic* utafanyaje, mi mwenyewe sijui kwa kweli 😅 Sababu I knows kuna muda you need his intimacy, ila unampaje mtu anayekucheat waziwazi? Lots of risks, magonjwa na pia hamu inaisha.
 
Back
Top Bottom