Asante sana na saa hii ni kufocus tu na watoto na kupambana na kipato changu kwa kweli saa hii hata hamu ya hiyo sina mwili haureact tenaPole, take heart sis, Weka focus katika kulea watoto kama una kipato, kama huna anza kutafuta.
Wanaume zetu "wengi" hawajalelewa kwa upendo, wao kumpa mtu mwingine upendo ni next to impossible. Wanawake tujifunze kujipenda na kujipambania. Kuhusu dic* utafanyaje, mi mwenyewe sijui kwa kweli [emoji28] Sababu I knows kuna muda you need his intimacy, ila unampaje mtu anayekucheat waziwazi? Lots of risks, magonjwa na pia hamu inaisha.
Yaani mawazo yapo zaidi kujitafuta sina hata muda wa kutamani hata hyo mwanaume nmepoteza matumaini na jinsia ya MEKucheat sio hadi uliwe
Ukitongozwa alafu ukakubali Kisha mkaanza kuchat meseji ya mapenzi hapo pia utakuwa umecheat.
Lakini kama vyote hukufanya basi wewe nakupenda pia mrembo.
Hamna mtu alie kua anapenda hyo kitu kama mm yaani nilikua napenda mnoo muda wote nilikua natamani anipee sasa mwaka 2020 nilijifungua januar nikakaa uzazi baada ya kumaliza mwenzangu hataki tenakushiriki nikaenda kushtaki kwao yaani huo mwaka wote hatukushirikiana mpaka mwaka 2021 akajirudi sasa ikaanza matukio navumilia 2022 ,2023 yakashamiri mpaka mwaka huu ni zaidi sasa nmeamua kuikubali hali akili nmeihamishia kwenye kazi nipate kulea watoto sasa ndio anaona namdharau na kumfanyia kiburi kwakua siumii na mambo yake tenaJichunguze kwa makini, huenda kuna makosa unayofanya bila kujitambua. Mf. Labda mara nyingi unamwambia umechoka na kushindwa kumtimizia haja zake.
Kulelewa kwa upendo, point taken.Pole, take heart sis, Weka focus katika kulea watoto kama una kipato, kama huna anza kutafuta.
Wanaume zetu "wengi" hawajalelewa kwa upendo, wao kumpa mtu mwingine upendo ni next to impossible. Wanawake tujifunze kujipenda na kujipambania. Kuhusu dic* utafanyaje, mi mwenyewe sijui kwa kweli 😅 Sababu I knows kuna muda you need his intimacy, ila unampaje mtu anayekucheat waziwazi? Lots of risks, magonjwa na pia hamu inaisha.
Nicheki pm nikupe pumzikoHabari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.
Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?
Sijalelewa katika mazingira ya shirki ndio sababu nmebaki kumuomba Mungu anikuzie tu watoto na nmeshashukuru tu naamini Mungu na pia karma hivo atanilipia tu hata kama ni muda mrefu utapita ila atalipa tuusiku hizi wenzio wanawaloga tu. Wanawake mumesahau sana limbwata mtu wa iana hiyo mweke kwenye Chupa atulie alee familia yake.
Wacha zako wee binti endelea kutanua kwa mumeo.Yaani mawazo yapo zaidi kujitafuta sina hata muda wa kutamani hata hyo mwanaume nmepoteza matumaini na jinsia ya ME
Karma, Mungu an shirki utofauti wake ni nini? Unamuomba Mungu amfanye nini si amtulzie? na shirk ndio akzi yake pia yeney matokeo ya harakaSijalelewa katika mazingira ya shirki ndio sababu nmebaki kumuomba Mungu anikuzie tu watoto na nmeshashukuru tu naamini Mungu na pia karma hivo atanilipia tu hata kama ni muda mrefu utapita ila atalipa tuu
Mwambie akupe location tumpitie tukalewe🤣Kuwa bize na maisha bana, jitahidi ukose muda wa kutia tia huruma......
Tuleweee tucheze bakurutuuuu....turudi home kulaza vikomwe.Mwambie akupe location tumpitie tukalewe🤣
Njoo la mama nikuliwaze huyo bwege mwaache afanye yakeHabari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.
Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?
Ukishamaliza kujiuliza, chukua hatua.Habari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.
Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?
Kama ipi ?Ukishamaliza kujiuliza, chukua hatua.
Mumeo ni Narcissist, huwa hawabadiliki hao watu, usije waza utambadilisha Kwa vikao au malalamiko au kuwa vile anavyotaka uwe...Hamna mtu alie kua anapenda hyo kitu kama mm yaani nilikua napenda mnoo muda wote nilikua natamani anipee sasa mwaka 2020 nilijifungua januar nikakaa uzazi baada ya kumaliza mwenzangu hataki tenakushiriki nikaenda kushtaki kwao yaani huo mwaka wote hatukushirikiana mpaka mwaka 2021 akajirudi sasa ikaanza matukio navumilia 2022 ,2023 yakashamiri mpaka mwaka huu ni zaidi sasa nmeamua kuikubali hali akili nmeihamishia kwenye kazi nipate kulea watoto sasa ndio anaona namdharau na kumfanyia kiburi kwakua siumii na mambo yake tena
Raha jipe mwenyewe🤣🤣🤣 tucheze amapiano tubinue macho hadi yaume🤣Tuleweee tucheze bakurutuuuu....turudi home kulaza vikomwe.
Yaani hichi ndicho nakifanya muda huu naishi kama mjane napambana na yangu najipa furaha mwenyewe sasa anachukia eti namdharau mm simjibu maana nishachoka awepo asiwepo kwangu ni sawa tuuMumeo ni Narcissist, huwa hawabadiliki hao watu, usije waza utambadilisha Kwa vikao au malalamiko au kuwa vile anavyotaka uwe...
Options ni mbili, kuachana au kuishi Kama humuoni......Ila for the sake of kids....we ishi Kama hayupo, jipende, jijali, penda wanao, usimuoneshe upo desperate na hiyo ndoa, ishi like awepo au aondoke maisha yako yataendelea Kwa furaha.....siku akipona kichaa chake atajirudisha......ukimuendekeza utakuja kupata sonona, ufe uache wanao wanateseka.