- Thread starter
- #81
Asante sana na saa hii ni kufocus tu na watoto na kupambana na kipato changu kwa kweli saa hii hata hamu ya hiyo sina mwili haureact tenaPole, take heart sis, Weka focus katika kulea watoto kama una kipato, kama huna anza kutafuta.
Wanaume zetu "wengi" hawajalelewa kwa upendo, wao kumpa mtu mwingine upendo ni next to impossible. Wanawake tujifunze kujipenda na kujipambania. Kuhusu dic* utafanyaje, mi mwenyewe sijui kwa kweli [emoji28] Sababu I knows kuna muda you need his intimacy, ila unampaje mtu anayekucheat waziwazi? Lots of risks, magonjwa na pia hamu inaisha.