Hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya

Watu wa manispaa au private business?

Sinza maji ya bomba yanatoka siku hizi?
Wakati nakaa sinza yalikuwa yanatoka but jioni yanakatika yanarudi saa nne usiku.

Nishaama huko bills zilikuwa kubwa. Maji bill inakuja 80k kweli?
 
Wakati nakaa sinza yalikuwa yanatoka but jioni yanakatika yanarudi saa nne usiku.

Nishaama huko bills zilikuwa kubwa. Maji bill inakuja 80k kweli?
Bora hivyo. Mimi nilikaa Sinza maji ya kununua kwenye madumu ya kupitishwa na mikokoteni.
 
Nikiwa zangu nakimbia jogging nikifika kwenye huu mjengo huwa nautazama sn..kijichi kuna watu Wana hela banaView attachment 1815319
Ningekua mimi hii nyumba ningejenga mbali kidogo na barabara maana hapo ilipo kelele za magari zitasumbua.
Sema ndio hivyo tena ukiwa huna hela unakua na mawazo mazuuuuri 🤣 🤣
 
Bongo kitendawili. Miaka ya 80's- 90's nilikaa masaki maji yalikuwa ya mgao.
Ndiyo hapo utakapojua Bongo unaweza kuwa sehemu jina kubwa, lakini huduma muhimu hakuna.

Miaka ya 90 tulikuwa tunatoka Masaki kwa Bibi tunaenda kufua nguo nyumba yake ya Mwenge.

Kwa sababu Masaki licha ya kuwa na jina kubwa, hakuna maji. Mwenge ndiko kwenye maji.
 
Masaki, Oysterbay and Msasani Peninsula in Dar es Salaam Tanzania.

If you Think Africans are poor watch this :

Source : wode maya
 
Hard works comes first before good time
 
Tatizo la Bongo nyumba ikianza kuungua moto Fire Brigade mpaka watoke Bandarini au Airport wafike Oysterbay nyumba ishateketea.

Unapofananisha Bongo na Ulaya usifananishe majengo tu.

Angalia miundombinu pia.
Hiyo Nyumba ya Mtoto waSSB iliwahi kushika moto.... kilichotokea... faya 3 tatu zilipishana bila kuitwa.... yale maneno yao sijui hamna maji sijui nn... hakuna...... wazee wa khaki wakafunga mtaa.... kama wote....
 
Mimi nikiweza kujenga gheto self contained, ndani nikaweka sabufa na TV flat (40 inches), friji , mtungi wangu wa gesi, basi inatosha hiyo ndio itakuwa Ulaya yangu[emoji1787]
Mambo ya kusena inatosha hata nikiwa na TV ndogo ni tabia za watu wavivuuuu, sky has no limit [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…