instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Wakati nakaa sinza yalikuwa yanatoka but jioni yanakatika yanarudi saa nne usiku.Watu wa manispaa au private business?
Sinza maji ya bomba yanatoka siku hizi?
Nishaama huko bills zilikuwa kubwa. Maji bill inakuja 80k kweli?