Hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya

Mkuu hivi Una malengo ya kurudi bongo siku moja au umeshaamua kuwa mtu wa huko mbele mazima
 
Hivi mkuu hawa jamaa hiki wanachokifanya kuja kuishi bongi ni kweli au bla bla za mitandaoni tu,maana siku hizi huko u tube kuna harakati kibao sn tunaziona za hawa blacks kuitaja bongo Kama sehemu nzuri ya kuishi na wengine kudiriki Kusema wanakuja kuhamia bongo mazima
 
Mazima mkuu, Bongo nitakuja kutembea tu.

Sababu zilizonifanya niondoke hazijabadilika na wala sitegemei zibadilike katika muda wa maisha yangu uliobakia.
Nakukubali..sitaki nizijue hizo sababu,Ila ninachojua wewe ni Mzee wa misimamo[emoji16]

Poa mkuu Sisi wacha tuendeleze gurudumu kuisogeza nchi mbele,Ila mlioko mbele msisite kuwekeza home ili na Sisi wengine tupate ajira mkuu
 

Sawa kaka nmekuelewa vzr san
 
Yani kuna mzee mmoja najuana naye yupo serikalini daaa!huo mjengo alionao ni kufuruuu.Nimemwomba anisaidie anitafutie kijikazi angalau kizuri yupo kimya tu daaah

Kaka usitegeme tajiri kukutafutia kaz zaid ya kupigwa kalenda km mm nilivyopigwaga kalenda na bosi flan hv wa taifa gase tena jiran yangu haswa niliishia kuambiwa nasafir kidg kwend US after one week or two mpk nikakata tamaa nae
 
OysterBay ya sasa si ile ya zamani Mkuu imeharibika sana. Nilipita mitaa hiyo hivi karibuni nilipigwa na mshangao wa hali ya juu. Miaka mingine 10 basi kunaweza kuwa Uswazi kabisa.
Duuh Kweli kabisa
Tulikuwa tunakaa Haile Sellasie road kabla ya IST, miaka 30 iliyopita , kulikuwa Oysterbay kweli
Nilivyopita 2018, mtaa mzima umejaa vigrocery na vipub kama uswahilini, halafu barabara zimechoka kinoma,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…