Hapa bongo wengi wanaojiita hackers ni show off kwajili ya attention, hawajafika hizo level na ni watupu hawajui kitu.

Hapa bongo wengi wanaojiita hackers ni show off kwajili ya attention, hawajafika hizo level na ni watupu hawajui kitu.

Copy paste kutoka fb......

Tanzania kuna "๐ญ๐š๐ฉ ๐ค๐ข๐๐๐ข๐ž๐ฌ" wengi wanaojiita "๐‡๐š๐œ๐ค๐ž๐ซ๐ฌ" , hii ni sawa na panya kujifananisha na simba wakati hamwezi hata nyau.

Kumekua na tabia ya ajabu sana siku hizi, mtu anajijua kabisa hafikii hata theluthi ya hacker ila anaamua kujipachika jina la hacker, huu ni ushamba wa hali ya juu sana.

๐‡๐€๐‚๐Š๐„๐‘โ€“ ๐˜๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ง๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฎ๐˜ข๐˜จ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ซ๐˜ถ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ต๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถyaendesha.

sifa yake kuu anaweza kujitengenezea tools zake yeye mwenyewe, ku modify tools za wengine kwa kuongeza manjonjo yake n.k. na hata akitumia scripts za wengine ni kuokoa tu muda, sio kwamba hawezi kujitengenezea yake.(no need to re invent the wheel)

anaujua mtiririko wa system, anajua nini kinafanyika mpaka kinatokea kitu Fulani, maswali yake huwa ni kwanini au inakuwaje tool hii iko hivi na hivi, sio kama kundi la pili wanakimbilia kuulizia tool ipi watumie bila kuwa na understanding ya work flow.

๐—ฆ๐—–๐—ฅ๐—œ๐—ฃ๐—ง ๐—ž๐—œ๐——๐——๐—œ๐—˜โ€“ ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ท๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜จ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ya automatic.

Hawa huwa wanajua kutumia script lakini hawajui nini kilicho nyuma ya hizo scripts mpaka zinaleta matokeo flani maana hawana hata elimu ya fundamentals za mtiririko wa process zinazoendelea pindi wanapozitumia scripts, hii inamfanya akose ubunifu.

Wanachojua ni kutumia scripts ambazo zimetengenezwa na hackers.

script ikiharibika ama ikileta matatizo hua hawezi kuirekebisha, yeye kakariri tu commands kwamba akichapa hivi kwenye keyboard basi kitakuja kitu Fulani.

ila kidogo wana nafuu maana angalau wanajua ku tumia hzo scripts za lugha mbali mbali kama JavaScript,PHP, Python, Ruby, Groovy, Perl, Lua,Bash, n.k. kundi linalofata hata kutumia scripts ni shughuli nzito, wanachukia sana scripts.

๐—ง๐—”๐—ฃ ๐—ž๐—œ๐——๐——๐—œ๐—˜- ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฆ๐˜ฑ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข๐˜ต๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ท๐˜ข, yeye ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ถ๐˜ด๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช.

Ewaaa!! sasa hiki ndio kichaka cha wabongo wengi wanaojiita hackers, Mtu anajiita hacker kwenye ishu za kawaida kabisa.

-kapewa file la hatunnel kaanza kutumia freenet, anajiona hacker.
-kadownload app ya kuroot simu yenye kisehemu cha kuminya root, anajiona hacker
-kadownload software iliyovunjwa ili itumike bure, anajiona hacker
-anatumia firmware ya dtb kwenye kingamuzi ili akwepe malipo, anajiona hacker
-kaingiza window ya ubuntu au kali linux kwenye laptop, tayari anajiona hacker
-ka unlock modem / simu kwa maelekezo ya youtube, anajiona hacker, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

GASTA DI ELOO NYAMBAFU! hebu acheni kushusha thamani za taaluma za watu aisee.

Hawa wengi hata umpe script atabaki anaishangaa, ni weupe Zaidi ya script kiddies.

huwa wanazikwepa scripts, huwa wanapenda kutumia program/ app kwasababu huwa zimerahisisha mtitririko wa sctipt, wanagonga tu sehem kazi imeisha, hakuna mambo ya kuumiza kichwa wala kuandika command lines za kutumua script, ni mwendo wa kubofya tu.

hapa ndio kuna mambo ya kuminya kwa mouseโ€ฆ next, next, accept terms, done, finish.

.............................................................................

SASA TUELEWANE.

Msiwe mnawaita hackers, muwe mnawaita "TAP KIDDIES" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. mnapowaita hackers huwa wanavimba vichwa sana na hilo ndio huwa lengo lao

wao wanapojiita hackers, kuweka profile picture za hackers na kuleta fujo kwenye groups ili wasifiwe ni hackers huwa ni kama mtoto mdogo kavaa ndevu bandia ili aamkiwe, Msiwatimizie lengo lao kirahisi, kwanza hua inaua kipaji ๐Ÿ˜‚, waiteni tap kiddies wapate hasira ya kupiga hatua..
[color/red]Well said!!
 
Mleta mada umeonesha uhitaji wa kujua kuhusu hizi mambo za Offensive Cyber security (hacking).

Nakushauri kabla ya kubeza kitu ambacho bado hujakifaham vizur ni vyem ukatake time na kujifunza..
mim pia nilkuw na tabia hyo nashkuru mung nimeweza kuichange.

Sasa fanya hiv.

Search online sources mbalmbal ujifunze tofaut ya Red teaming & blue teaming , Offensive tool& Defensive tool development,malware development,Operating system internals.

Naiman utapata mwanga kidg hayo uliojarbu kuyazungumzia.
 
Muwe mnasoma vizuri basi kabla ya kujibu na kuhakikisha mnaelewa, Mleta mada mwanzo kabisa katuandikia "copy paste from fb" means sio yeye alieandika hii mada

ila wewe unakuja kutoa ushauri Kwa kumlenga mleta mada ikiwa inawezekana ye ata haelewi chochote kuhusu hacking ila kakopi kwakuwa yuko Tu interested, anyway tumekupata mwanafunzi wa ICT
 
hack gani hapa tanzania.maana kusomea hacker kama kwenu hakupo vizuri bora ubaki kuwa muingiza windows.
Hacker ni kipaji+ elimu tena ni zaidi ya milioni 60 umetumia kusoma vyuo konki.unaenda zako kusoma IT na wewe unajiona hacker
 
๐Ÿ™€๐Ÿ™€.......... loading..๐Ÿ˜บ๐Ÿ˜ธ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜„๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™Š๐Ÿ™ˆ
 
Yani Tanzania ni changamoto sana, yani mtu kutumia tools kwenye ku-hack inakua tatizo. kwa hivyo hacker anatakiwa a-code tool zake nyenyewe iniache kutimia nmap, metasploit, hashcat, hashid etc nitegeneze zangu.,??

Kuna jamaa kipindi cha nyuma aliniambia kama wewe unajua ku code, ung'e code language yako mwenyewe uache kutumia za wanaume. Kuanzia hapa nikaona baadhi ya watanzania hawapo serious
yani umenichekesha balaa.Kumbe huyo jamaa alikua anakuona wewe mwanamke na si mwanaume siku zote bila wewe kujua.Haahaa,hack imeanza kutuchambulia wanawake wenzetu walio kwenye muonekano wa kiume na kuwarudisha kwenye jinsi yao asili ya KE.
 
Yani Tanzania ni changamoto sana, yani mtu kutumia tools kwenye ku-hack inakua tatizo. kwa hivyo hacker anatakiwa a-code tool zake nyenyewe iniache kutimia nmap, metasploit, hashcat, hashid etc nitegeneze zangu.,??

Kuna jamaa kipindi cha nyuma aliniambia kama wewe unajua ku code, ung'e code language yako mwenyewe uache kutumia za wanaume. Kuanzia hapa nikaona baadhi ya watanzania hawapo serious
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…This is bongo
 
-kapewa file la hatunnel kaanza kutumia freenet, anajiona hacker.
-kadownload app ya kuroot simu yenye kisehemu cha kuminya root, anajiona hacker
-kadownload software iliyovunjwa ili itumike bure, anajiona hacker
-anatumia firmware ya dtb kwenye kingamuzi ili akwepe malipo, anajiona hacker
-kaingiza window ya ubuntu au kali linux kwenye laptop, tayari anajiona hacker
-ka unlock modem / simu kwa maelekezo ya youtube, anajiona hacke
๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom