Hapa bongo wengi wanaojiita hackers ni show off kwajili ya attention, hawajafika hizo level na ni watupu hawajui kitu.

[color/red]Well said!!
 
Mleta mada umeonesha uhitaji wa kujua kuhusu hizi mambo za Offensive Cyber security (hacking).

Nakushauri kabla ya kubeza kitu ambacho bado hujakifaham vizur ni vyem ukatake time na kujifunza..
mim pia nilkuw na tabia hyo nashkuru mung nimeweza kuichange.

Sasa fanya hiv.

Search online sources mbalmbal ujifunze tofaut ya Red teaming & blue teaming , Offensive tool& Defensive tool development,malware development,Operating system internals.

Naiman utapata mwanga kidg hayo uliojarbu kuyazungumzia.
 
Muwe mnasoma vizuri basi kabla ya kujibu na kuhakikisha mnaelewa, Mleta mada mwanzo kabisa katuandikia "copy paste from fb" means sio yeye alieandika hii mada

ila wewe unakuja kutoa ushauri Kwa kumlenga mleta mada ikiwa inawezekana ye ata haelewi chochote kuhusu hacking ila kakopi kwakuwa yuko Tu interested, anyway tumekupata mwanafunzi wa ICT
 
hack gani hapa tanzania.maana kusomea hacker kama kwenu hakupo vizuri bora ubaki kuwa muingiza windows.
Hacker ni kipaji+ elimu tena ni zaidi ya milioni 60 umetumia kusoma vyuo konki.unaenda zako kusoma IT na wewe unajiona hacker
 
yani umenichekesha balaa.Kumbe huyo jamaa alikua anakuona wewe mwanamke na si mwanaume siku zote bila wewe kujua.Haahaa,hack imeanza kutuchambulia wanawake wenzetu walio kwenye muonekano wa kiume na kuwarudisha kwenye jinsi yao asili ya KE.
 
🤣🤣😅This is bongo
 
😂
😂 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…