Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
sawa mkuu mimi nlijiuliza yaani anawajua sana watekaji kiasi kwamba alivyowaona tu mbowe na mnyika akaona sio watekajiKwamba ni Majambazi 🐼
Mbowe na Mnyika ni Wakristo Safi KKKT na Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Ni kwa sababu anawafahamu vyema policcm wake ni wapenda maigizo, na pia kwenye mambo ya msingi, huwa wanaleta mambo ya kitoto ili tu kupoteza watu maboya.Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji
1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."
2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."
Hapa Dkt Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji ?
source.... Dk Nchimbi: Mbowe, Mnyika hawahusiki sakata la Kibao, uchunguzi uharakishwe
Sasa bwashee Mnyika na Mbowe wanaweza kwenda Kibo Complex na kumteka abiria wa Tashrif mchana kweupe?! 😂😂sawa mkuu mimi nlijiuliza yaani anawajua sana watekaji kiasi kwamba alivyowaona tu mbowe na mnyika akaona sio watekaji
😁😁😁😁sawa mkuu mimi nlijiuliza yaani anawajua sana watekaji kiasi kwamba alivyowaona tu mbowe na mnyika akaona sio watekaji
Amewataja kwa kuwakataa😂😂😂😂Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji
1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."
2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."
Hapa Dkt Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji ?
source.... Dk Nchimbi: Mbowe, Mnyika hawahusiki sakata la Kibao, uchunguzi uharakishwe
Amewataja kwa kuwakataa😂😂😂😂
Kila mwenye akili timamu anawajua watekaji kuwa ni kikosi maalumu ambacho kiko chini ya Faustin Mafwele. Hata Rais kudai uchunguzi ufanyike na apewe ripoti haraka ni kutufanya Watanganyika ni mazuzu, yeye anawajua na ndiye anawalipa mshahara na kazi yao ameibariki.Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji
1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."
2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."
Hapa Dkt Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji ?
source.... Dk Nchimbi: Mbowe, Mnyika hawahusiki sakata la Kibao, uchunguzi uharakishwe
hakikaNi kwa sababu anawafahamu vyema policcm wake ni wapenda maigizo, na pia kwenye mambo ya msingi, huwa wanaleta mambo ya kitoto ili tu kupoteza watu maboya.
Hivyo ameona awakumbushe mapema kuachana na maigizo! Na badala yake wasimame kwenye misingi ya taaluma yao.
tuhuma bila ushahidi ni uzushi tusubiri uchunguziKila mwenye akili timamu anawajua watekaji kuwa ni kikosi maalumu ambacho kiko chini ya Faustin Mafwele. Hata Rais kudai uchunguzi ufanyikw na apewe ripoti haraka ni kutufanya Watanganyika ni mazuzu, yeye anawajua na ndiye anawalipa mshahara na kazi yao ameibariki.
Mhalifu anajichunguzajetuhuma bila ushahidi ni uzushi tusubiri uchunguzi
UNAJUA INAFIKA MAHALI MUNGU ANAWATUMIA WATU KUSEMA UKWELI. SASA " NCHIMBI AMEFIKISHA UJUMBE KUWA MAONEZI MENGI YANAFANYWA KWA AKINA MNYIKA, MBOWE NA WANACHAMA WENGINE"Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji
1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."
2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."
Hapa Dkt Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji ?
source.... Dk Nchimbi: Mbowe, Mnyika hawahusiki sakata la Kibao, uchunguzi uharakishwe
uko sahihiUNAJUA INAFIKA MAHALI MUNGU ANAWATUMIA WATU KUSEMA UKWELI. SASA " NCHIMBI AMEFIKISHA UJUMBE KUWA MAONEZI MENGI YANAFANYWA KWA AKINA MNYIKA, MBOWE NA WANACHAMA WENGINE"
FULL STOP KABISA
Mbowe ni LutheranKwamba ni Majambazi 🐼
Mbowe na Mnyika ni Wakristo Safi KKKT na Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Wanaopaswa kudhibitisha ndio wanaoteka watu.tuhuma bila ushahidi ni uzushi tusubiri uchunguzi
Yaani wauaji wajichunguze, are you serious? Au wewe ni mmoja wao?tuhuma bila ushahidi ni uzushi tusubiri uchunguzi