Hapa Dkt. Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji

1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."

2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."

Hapa Dkt Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji ?

source.... Dk Nchimbi: Mbowe, Mnyika hawahusiki sakata la Kibao, uchunguzi uharakishwe
 
Ni kwa sababu anawafahamu vyema policcm wake ni wapenda maigizo, na pia kwenye mambo ya msingi, huwa wanaleta mambo ya kitoto ili tu kupoteza watu maboya.

Hivyo ameona awakumbushe mapema kuachana na maigizo! Na badala yake wasimame kwenye misingi ya taaluma yao.
 
sawa mkuu mimi nlijiuliza yaani anawajua sana watekaji kiasi kwamba alivyowaona tu mbowe na mnyika akaona sio watekaji
Sasa bwashee Mnyika na Mbowe wanaweza kwenda Kibo Complex na kumteka abiria wa Tashrif mchana kweupe?! 😂😂

Kibo Complex kuna Benki 4 pale CRDB, Mwanga, NMB na NBC hivyo ukipiga ngoro tu FFU kama Wote 😀😀🔥🔥🔥🔥
 
Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji

1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."

2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."

Hapa Dkt Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji ?

source.... Dk Nchimbi: Mbowe, Mnyika hawahusiki sakata la Kibao, uchunguzi uharakishwe
Amewataja kwa kuwakataa😂😂😂😂
 
Kila mwenye akili timamu anawajua watekaji kuwa ni kikosi maalumu ambacho kiko chini ya Faustin Mafwele. Hata Rais kudai uchunguzi ufanyike na apewe ripoti haraka ni kutufanya Watanganyika ni mazuzu, yeye anawajua na ndiye anawalipa mshahara na kazi yao ameibariki.
 
Ni kwa sababu anawafahamu vyema policcm wake ni wapenda maigizo, na pia kwenye mambo ya msingi, huwa wanaleta mambo ya kitoto ili tu kupoteza watu maboya.

Hivyo ameona awakumbushe mapema kuachana na maigizo! Na badala yake wasimame kwenye misingi ya taaluma yao.
hakika
 
Kila mwenye akili timamu anawajua watekaji kuwa ni kikosi maalumu ambacho kiko chini ya Faustin Mafwele. Hata Rais kudai uchunguzi ufanyikw na apewe ripoti haraka ni kutufanya Watanganyika ni mazuzu, yeye anawajua na ndiye anawalipa mshahara na kazi yao ameibariki.
tuhuma bila ushahidi ni uzushi tusubiri uchunguzi
 
Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji

1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."

2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."

Hapa Dkt Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji ?

source.... Dk Nchimbi: Mbowe, Mnyika hawahusiki sakata la Kibao, uchunguzi uharakishwe
UNAJUA INAFIKA MAHALI MUNGU ANAWATUMIA WATU KUSEMA UKWELI. SASA " NCHIMBI AMEFIKISHA UJUMBE KUWA MAONEZI MENGI YANAFANYWA KWA AKINA MNYIKA, MBOWE NA WANACHAMA WENGINE"

FULL STOP KABISA
 
uko sahihi
 
Back
Top Bottom