Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hao ni Juniors mixer uvccm na Suma JKT ,wasameheWaambie hawa wajomba zako waache ushamba kuigiza kazi ya wenye weledi wao
umelekezewa watoto wangapi(msongo wa mawazo huo)Acha kunywa ulanzi bhanaa,😜
Alikahidi ndilongele mnyalukoloHeshima yako dada .
Tafadhali naomba Mara nyingine usiutukane ulanzi kwa vitu vya kipuuzi watu wanavyoanzisha ,nakuomba Sana .
Usiku mwema 😠
Nishamzingua mmoja. Karusha ngumi, nikadaka. Nimempa kerbu Moja hiyo. Yule kama hajazimia huko walikompeleka, kafaNyadikwa(😀😃😃)
kapicha basi, jaribu kuwazingua uone ,wambie waache ukuda watoke bar hapo na mashati Yao ya mtumba ya sabasaba......
Viko vingi hivyo vitaahira! Akina Bhenja KineheWamevaa vikofia vyeusi kwenye maeneo ya starehe wana act kishamba shamba sana. Walugaluga wakubwa, ushamba sana.