Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k

At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka angani ile ni raha kwa kweli.
Kwenyekutomba ndio centre ya raha zote maamae
 
Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k

At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka angani ile ni raha kwa kweli.
Starehe zipo nyingi sana sema huku kwetu bado ni masikin sana hakuna vitu vya kukufanya ufurah au umalize siku haraka
 
Njoo hapa Katavi utapewa uwezo wa kupaa na kufika popote duniani kwa kufumba macho kwa sekunde 5 tu.

Muda na umbali (time and distance) havina uhusiano kwa maarifa ya kupaa ya hapa Katavi.
Waw! Hiyo imekaa vizuri. Je, vigezo na masharti vimekaaje asije akadunguliwa akipita maeneo yenye Air defence Systems? :BANNED:
 
Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k

At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka angani ile ni raha kwa kweli.
Hata starehe yetu ya utamu imegeuka janga tunaogopana kupeana utamu
 
Kumbe mpaka kulala nako ni jambo linaloleta raha, na hatuambiani wala nini, poa jamaa.
 
Pepo ipi

1. Ya mabikra 72 na mito ya pombe
2. Ya binadamu wote umbo moja kazi ni kuimba na kusujudu milele.

????
Hahaha ila haya mambo bwana, hivi kusifu, kuimba na kuabudu milele imekaaaje hii mkuu!
 
Huyo Mungu ni Mkatili sana kwa kushindwa kuumba Dunia isiyo na matatizo wala majanga, Badala yake ameruhusu majanga na matatizo yawepo, ilhali uwezo wa kufanya yasiwepo anao na alikuwa nao.

Huyo Mungu ni katili sana.
 
Nakuaminia mkuu🤣🤣hawa tumeletewa bure, tuwachakate kadri tunavyoweza
Sasa unataka kuwachakata peke yako?

Mimi natafuta mmoja ananitosha mkuu😆
 
Mkuu; Tutajie walau kwa mfano.....:4Shrug:
Kuna mbio za faras mbio za magar mbio za pikpik kukimbia kwenye utelezi wa sabun ukiwa umebeba mzigo disco au club za mchana. Kukimbia kwenye utelezi ulioko kwenye daraja linaloelea na kuyumba nknk. Vitu vingi mno. Hapa kwetu starehe ni sex mpira na pombe
 
Back
Top Bottom