Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k

At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka angani ile ni raha kwa kweli.
tamaa zingine si nzuri jamani dah, yaani unatamani kua kama ndege, kweli ndrugu zango 🐒

na kwamba unamuonea wivu ndege anavyopaa, mathalani kunguru au mwewe, kwamba anafaidi sana kuruka angani, dah! uelekeo huu ni hatari sana 🐒
 
Kuna mbio za faras mbio za magar mbio za pikpik kukimbia kwenye utelezi wa sabun ukiwa umebeba mzigo disco au club za mchana. Kukimbia kwenye utelezi ulioko kwenye daraja linaloelea na kuyumba nknk. Vitu vingi mno. Hapa kwetu starehe ni sex mpira na pombe
Hapo naona hujawatendea haki Walokole :BatChesting:
 
In the movie Forrest Gump, one day Forrest and Jenny runs away from Jenny's father and Jenny prays: "Dear God, make me a bird, so that I can fly far, far, far away from here.” Does Jenny fly, like Forrest runs?
 
Back
Top Bottom