Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi watu wakibebishana mtu mwingine anateseka na nini? Ushimen njoo huku uone babe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanateseka aisee wifi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe watu huwa wanateseka eeh!!
Au kwavile hawajaanzishiwa wao?
Waka**e tikitiAu kwavile hawajaanzishiwa wao?
Wivu ni kidonda, ukishiriki.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jipe raha mama, as long as hakuna sheria unavunja.Mie sijaacha naendelea maana sikuanza juzi, ni tangu enzi za crush....
Nimeimiss Nissan nyeupe ya namanga....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumetulia kidogo tutazianzisha kama kawaida
Ila ukikasirika unalitoa walah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki umenifanya nicheke kwa nguvu, nimelifikiria tikiti lilivyo alafu mtu analikamua[emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukianzisha wanakasirika na kutukana juu kweli tumeacha maneno juu
Haya Ikush ni hivi tumeachwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
G kanitema
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupi sasa mana ninao wengi sana mpaka wengine nimewasahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi yule mkwe wangu yuko wapi[emoji134][emoji134][emoji134]
Kati ya hilo basi lako ni mmoja tu ndio uliwahi kunitambulisha.Yupi sasa mana ninao wengi sana mpaka wengine nimewasahau
Basi tutakuwa tumeshaachana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kawaachia wenzie waendeleze libenekeKati ya hilo basi lako ni mmoja tu ndio uliwahi kunitambulisha.
Tukianzisha wanakasirika na kutukana juu kweli tumeacha maneno juu
Haya Ikush ni hivi tumeachwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
G kanitema
Sent using Jamii Forums mobile app