ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 253
- 270
Kwani muhtasari unaandikwaje.?Ni jambo jema sana. lakin nani ana approve existence ya hiko chama? ni serikal hii hii ya ccm au nyingine?
wenzetu wanaanzisha chama serikali ikiwa transparency. wakiwa na taasisi imara kabisa ndio maana wanafanikiwa.
hapa nyumban hatuna taasisi imara.. kiasi kwamba kila chama kinachoanzishwa kinaonekana halina lolote mbele ya ccm. why?
taasis hizi zimeruhusu ccm kujipenyeza kwenye idara nyeti nchini. matokeo yake ni kuwa chama chochote kinaochojarib kuwa threat kwa ccm.. serikal huwa inatumia taasisi hizo kukigandamiza.
kwanza reverse hiyo effect ya uccm kwenye taasisi hizi. otherwise safari itakuwa ngum sana
nakuona afisa kipenyo uliyefukuzwa.MATAGA mnahaha. Mtafariki kwa presha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mmeshindwa kulinda legacy mnawaza chama, mataga mmepagawaSisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.
Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.
Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Serekali ya Samia imejaa watendaji kutoka chademaMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Akili zao azina akili, wamepagawa.. Mwendawazimu kafa, kwisha kabisa..!mmeshindwa kulinda legacy mnawaza chama, mataga mmepagawa
Duh..yajayo yanafurahisha.Akili zao azina akili, wamepagawa.. Mwendawazimu kafa, kwisha kabisa..!
Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT.
Mbona sumu zipo nyingi tu, kunyweni mumfuate huko motoni mkaanizishe hilo genge lenu la kihalifu.Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.
Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.
Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Alikuwa mzalendo aliyezuia wazalendo wa kweli kujua mapungufu yake.Lengo la HKT ni kurudisha faraja kwa Watanzania juu ya ulinzi wa Rasilimali zao “Hayati Dk John Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli, alikuwa na maono, alijitoa kwa nguvu zote, alikuwa na uthubutu sana, mtu wa vitendo na muumini wa matokeo na kuchukua hatua za papo kwa papo,
Anzisheni hicho chama mjue jinsi ilivyo kazi kuwa kwenye upinzani. Muda siyo mrefu ama mtajiunga na wimbi la kudai katiba mpya au mtarejea kuunga mkono juhudi za mama.Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.
Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.
Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Sasa si uwahi ofisi ya msaji?!Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.
Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.
Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Hawawezi kitu hawa! Huyu Mluga ni debe tupu, halikosi kelele!Anzisheni hicho chama mjue jinsi ilivyo kazi kuwa kwenye upinzani. Muda siyo mrefu ama mtajiunga na wimbi la kudai katiba mpya au mtarejea kuunga mkono juhudi za mama.
Mchukueni Humphrey Polepole awe GS wenu na Kukurwa Bashiru awe Mwenyekiti wenu.Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.
Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.
Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.