Hapa Kazi Tu (HKT) kiwe chama kipya cha kisiasa Tanzania kitakachoenzi falsafa na maono ya Hayati Dkt. Magufuli na kiwe tegemeo la Watanzania

Ni jambo jema sana. lakin nani ana approve existence ya hiko chama? ni serikal hii hii ya ccm au nyingine?
Kwani muhtasari unaandikwaje.?
Kunakuwa na uwasilishaji uliobora..
Haya mambo tukijadiliana kwa kina tunaweza kuelewana ni nini kifanyike.
Seriousness inahitajika.
Mama anaonekana anataka uhuru kwa hiyo hawezi kuweka ugumu.
 
wenzetu wanaanzisha chama serikali ikiwa transparency. wakiwa na taasisi imara kabisa ndio maana wanafanikiwa.

hapa nyumban hatuna taasisi imara.. kiasi kwamba kila chama kinachoanzishwa kinaonekana halina lolote mbele ya ccm. why?
taasis hizi zimeruhusu ccm kujipenyeza kwenye idara nyeti nchini. matokeo yake ni kuwa chama chochote kinaochojarib kuwa threat kwa ccm.. serikal huwa inatumia taasisi hizo kukigandamiza.

kwanza reverse hiyo effect ya uccm kwenye taasisi hizi. otherwise safari itakuwa ngum sana

Ni kazi kubwa sana, ila inawezekana, Augustino Mrema 1995 na Lowassa 2015. karibu wachukue nchi. Bila ugonjwa Magufuli labda Lowassa angefanikiwa.

Ni Watanzania kuwa na mwamko, kuzijua na kuzidai haki zao. Kuishinikiza Serikali na CCM kukubali haki za kikatiba kuunda chama kingine.

Hiki chama kipya pia kiwakubali watu kutoka CCM na vyama vingine vyote, (wale wasafi) wenye nia njema ndivyo kitapata nguvu.

Ni wananchi ndio hushinikiza kuundwa kwa taasisi imara, mageuzi. They come first and put serious pressure kwenye chama tawala na serikali.

Zambia, Malawi, Kenya waliweza.
 
Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.

Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.

Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
mmeshindwa kulinda legacy mnawaza chama, mataga mmepagawa
 
Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.

Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.

Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Mbona sumu zipo nyingi tu, kunyweni mumfuate huko motoni mkaanizishe hilo genge lenu la kihalifu.
 
Lengo la HKT ni kurudisha faraja kwa Watanzania juu ya ulinzi wa Rasilimali zao “Hayati Dk John Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli, alikuwa na maono, alijitoa kwa nguvu zote, alikuwa na uthubutu sana, mtu wa vitendo na muumini wa matokeo na kuchukua hatua za papo kwa papo,
Alikuwa mzalendo aliyezuia wazalendo wa kweli kujua mapungufu yake.
R.I.P Magu.
 
Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.

Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.

Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Anzisheni hicho chama mjue jinsi ilivyo kazi kuwa kwenye upinzani. Muda siyo mrefu ama mtajiunga na wimbi la kudai katiba mpya au mtarejea kuunga mkono juhudi za mama.
 
Sasa si uwahi ofisi ya msaji?!
 
Anzisheni hicho chama mjue jinsi ilivyo kazi kuwa kwenye upinzani. Muda siyo mrefu ama mtajiunga na wimbi la kudai katiba mpya au mtarejea kuunga mkono juhudi za mama.
Hawawezi kitu hawa! Huyu Mluga ni debe tupu, halikosi kelele!
 
Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.

Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.

Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Mchukueni Humphrey Polepole awe GS wenu na Kukurwa Bashiru awe Mwenyekiti wenu.
 
Hatimaye Tanzania itapata chama kipya, kitachowaunganisha wananchi wote na kutetea maslahi ya watu wote wa hali zote, dini zote, makabila yote.

Kitachokuwa mbadala wa CCM. Tunakitakia kila la heri na mafanikio mengi.
 
Back
Top Bottom