Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,000
Hapa kazini tu, nayo kazi itakuweka huru!!Kazi na Uhuru (CHADEMA)
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kazini tu, nayo kazi itakuweka huru!!Kazi na Uhuru (CHADEMA)
Jr[emoji769]
lissu hana wafuasi, ana wapenda mageuzi.
MATAGA mnasema Lissu na wanamageuzi wanapinga ndege lakini ukweli ni kwamba wanataka ukweli na ueazi kwenye manunuzi ya ndege.
Wanapinga barabara, hapana , wanataka uwiano wa maendeleo ya vitu na watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hashim Rungwe....wali kuku.
Maskini umeona unavyohangaika kutafuta angle ya kusawazisha hicho kitu kinachoitwa hapa kazi tuHapa kazi tu (CCM)! Neno hapa kazi alimaanishi hakuna uhuru , inaaamanisha kuleta maendeleo kwa vitendo si maneno maneno!!.
Tupate Maoni, tujitambue, tujuane
1. Hapa Kazi Tu (CCM)
2. Kazi na Bata (ACT)
3. Kazi na Uhuru (CHADEMA)
Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini.
Wewe Ukowapi katika hizo?
Hapa kazi tu (CCM)! Neno hapa kazi alimaanishi hakuna uhuru , inaaamanisha kuleta maendeleo kwa vitendo si maneno maneno!!.
Yeah nikiwa nafanya kz naweza kunywa serengeti light kwa uhuruKazi na Uhuru (CHADEMA)
Jr[emoji769]
Tatizo elimu ya kukariri huaezi kishirikisha akili ya kuzaliwaPathetic!! Kwa hiyo unakubali pia ACT na CHADEMA nao wana maana hiyo hiyo wanapoweka “kazi” katika motto zao??
Neno “tu” humaanisha u-moja (oneness) ya kinachozungumziwa. Ndio mantiki ya hao wengine ili kuonesha wao wana mambo mawili. Wasisitiza uhuru na haki kama mambo ya msingi kwao.
Kijana unakwama wapi, mboan hujiwezi hivi kifikra? Tatizo ni siasa uchwara au ni penzi pofu?
Hizo Barabara kwani ni hisani na fedha za mfuko binasfi wa Magufuli na familia yake?Huyu Lissu hana hekima zaidi ya kupayuka payuka hovyo bila ya staha. Anatumia barabara anazo zikashifu na kukebehi maendeleo ya miundo mbinu yaliyo fanyanywa na serikali za ccm.
Wanasahau tangu JPM achaguliwe 2015 kuwa mgombea wa CCM hata baadaye akiwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa JMT kila alipoongea na Watanzania hakuacha kuwasihi kwa maneno haya, Katika mambo yetu yote tumtangulize Mungu.
Hivyo basi mafanikio yote serikali ya CCM waliyo ya pata chini ya JPM yana mkono wa Mungu. Yoyote anaye simama na kuyakejeli hadharani ama akiwa mafichoni ajue anamkejeli na kumdharau Mungu pengine bila kujua. Lissu na wa aina yake wasubiri hasira ya Mungu, maana kwa hakika ijuu yao na imewaka.
Maana yake wanakiri CCM ni kama MAJI lazima utayanywa au kuoga au ... "aliimba Pablo Masai wa Fm Academia".Yaani hata slogan zimeundwa kupingana slogan za CCM. Kwanini wapinzani wasiwe tu independent, waje na slogan ambazo haziko influenced na CCM?
Kazi na uhuruTupate Maoni, tujitambue, tujuane
1. Hapa Kazi Tu (CCM)
2. Kazi na Bata (ACT)
3. Kazi na Uhuru (CHADEMA)
Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini.
Wewe Ukowapi katika hizo?
Kiufupi wamekubaliana na motto ya Magu kuwa hizi ni zama za kazi? Ile Mabadiliko na kubingirisha mikono wameachana naye?Tupate Maoni, tujitambue, tujuane
1. Hapa Kazi Tu (CCM)
2. Kazi na Bata (ACT)
3. Kazi na Uhuru (CHADEMA)
Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini.
Wewe Ukowapi katika hizo?
KWA NINI USEME HAPA KAZI TU! HIYO "TU"INA MAANISHA NINI?Hapa kazi tu (CCM)! Neno hapa kazi alimaanishi hakuna uhuru , inaaamanisha kuleta maendeleo kwa vitendo si maneno maneno!!.
Uhuru na Kazi for lifeeeeeeeeeeTupate Maoni, tujitambue, tujuane
1. Hapa Kazi Tu (CCM)
2. Kazi na Bata (ACT)
3. Kazi na Uhuru (CHADEMA)
Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini.
Wewe Ukowapi katika hizo?
Afande sirro anasema mnatakatisha pesaKazi bila kufungiwa account za benki 'uhuru na kazi'
Tupate Maoni, tujitambue, tujuane
1. Hapa Kazi Tu (CCM)
2. Kazi na Bata (ACT)
3. Kazi na Uhuru (CHADEMA)
Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini.
Wewe Ukowapi katika hizo?
Kazi na Uhuru (CHADEMA)
Jr[emoji769]
Kazi na Uhuru halafu BATA.
KAZI NA BATA - Maalim Seif +Mwakilishi+Mbunge
KAZI NA UHURU- Tundu Lissu
KWANI WEWE NDIO UMEKUJA KUSIKIA KWA HILO DUDU KWAMBA DUNIANI KUNA KAZI?Kiufupi wamekubaliana na motto ya Magu kuwa hizi ni zama za kazi? Ile Mabadiliko na kubingirisha mikono wameachana naye?