Slogan ya kuzungumzia kazi niliisikia kwanza kwake 2015, kabla sijasikia hizi za wapinzani.KWANI WEWE NDIO UMEKUJA KUSIKIA KWA HILO DUDU KWAMBA DUNIANI KUNA KAZI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slogan ya kuzungumzia kazi niliisikia kwanza kwake 2015, kabla sijasikia hizi za wapinzani.KWANI WEWE NDIO UMEKUJA KUSIKIA KWA HILO DUDU KWAMBA DUNIANI KUNA KAZI?
Thanks Kitaturu NimekusomaMasahihisho tafadhali...
Inapaswa kuwa UHURU na KAZI na siyo KAZI na UHURU...
Kinachopaswa kuwa cha kwanza ni UHURU wa watu ama watu kuwa na UHURU...
Watu wakiwa HURU ndipo KAZI zinaweza kufanyika...
Mtu ambaye amefanya kazi yake vizuri, mwisho wa siku sharti afurahie matunda ya kazi yake hiyo....sharti ale BATA...
Imeandikwa, ASIYEFANYA KAZI NA ASILE lakini kama watu wamefanya kazi sharti wapate mafao yao kisha WALE BATA....!!
UHURU NA KAZI si ilikuwa motto ya Mkapa uchaguzi wa 1995?Masahihisho tafadhali...
Inapaswa kuwa UHURU na KAZI na siyo KAZI na UHURU...
Kinachopaswa kuwa cha kwanza ni UHURU wa watu ama watu kuwa na UHURU...
Watu wakiwa HURU ndipo KAZI zinaweza kufanyika...
Mtu ambaye amefanya kazi yake vizuri, mwisho wa siku sharti afurahie matunda ya kazi yake hiyo....sharti ale BATA...
Imeandikwa, ASIYEFANYA KAZI NA ASILE lakini kama watu wamefanya kazi sharti wapate mafao yao kisha WALE BATA....!!
Hizo Barabara kwani ni hisani na fedha za mfuko binasfi wa Magufuli na familia yake?
Mnapenda kupindisha mambo. Toka tupate uhuru slogan ni "Uhuru na Kazi" JPM yeye kaona Uhuru na Kazi haiendi ndio kaja na Hapa Kazi tu (na matukio yake tumeyaona). Zito kaweka Kazi na Bata. Ukweli ukiwa na uhuru unaweza kuamua hapa kazi tu au kazi na bata. Lisu anaturudisha kule kwenye misingi ya taifa hili.Wote slogan zao ni copy ‘nd paste ya CCM..... upinzani hawajawahi fikiria kazi kama first priority. Asante magufuli watu kazi wanaiyona.
Ukifnya kazi bata utakula tu, ukifanya kazi pesa yako hupangiwi matumizi (utakuwa huru tu mwishowe)
Lini umewasikia Chadema wakiiongelea hiyo kauli mbiu ya Taifa before? Acha kubwabwaja, Magu ndio kawafanya wakumbuke shuka angali pamekucha.Mnapenda kupindisha mambo. Toka tupate uhuru slogan ni "Uhuru na Kazi" JPM yeye kaona Uhuru na Kazi haiendi ndio kaja na Hapa Kazi tu (na matukio yake tumeyaona). Zito kaweka Kazi na Bata. Ukweli ukiwa na uhuru unaweza kuamua hapa kazi tu au kazi na bata. Lisu anaturudisha kule kwenye misingi ya taifa hili.
Hata wafungwa hufanya kazi, tena hapa kazi tu hakuna bata wala uhuru.
Uhuru na Kazi ingependeza lakini ilikuwa ya TANU.Kazi na uhuruuuuuuu
Rejea kwa mleta mada, ameandika kauli mbiu tatu na kuomba zijadiliwe. Ukaja wewe na kuandika:Lini umewasikia Chadema wakiiongelea hiyo kauli mbiu ya Taifa before? Acha kubwabwaja, Magu ndio kawafanya wakumbuke shuka angali pamekucha.
Asante kwa analysis yako isipokuwa Lisu hana credentials za kusimamia stands za mwalimu Nyerere hata siku moja, kwanza, mwalimu sio role model wake maana amekuwa akimpinga hadharani na kunawakati akimtupia lawama kwamba mwalimu aliifelisha nchi.Rejea kwa mleta mada, ameandika kauli mbiu tatu na kuomba zijadiliwe. Ukaja wewe na kuandika:
"Wote slogan zao ni copy ‘nd paste ya CCM..... upinzani hawajawahi fikiria kazi kama first priority. Asante magufuli watu kazi wanaiyona.
Ukifnya kazi bata utakula tu, ukifanya kazi pesa yako hupangiwi matumizi (utakuwa huru tu mwishowe)"
Mimi nilichoweka ni historia na chronology ya hiyo misemo na kuonyesha kuwa hiyo ya CDM Uhuru na Kazi si ya CDM bali Lissu katukumbusha. Hii inaweka Uhuru kwanza hata kabla ya kazi ya Zito ni kama ya Magu bali kaongezea Kula bata. Kwa reasoning yako basi hata magu amekopi na ku paste kitu ambacho si sawa. Yeye kafuta Uhuru, na Zito kaongezea ya Magu. CDM wamerudia ile ya asili enzi za JKN. Ni kweli kwa Magu kazi tunaiona lakini uhuru kwa maana ya uhuru ni shida sana.
Kati yako wewe na mimi sijui nani anabwabwaja, jiulize na tafakari.
Swala la Uhuru haliishi pale tu nchi inapopata uhuru. Kuna uhuru wa maamuzi kama nchi lakini pia kuna uhuru wa wananchi, vyote lazima vilindwe, Serikali huwa zina tendencies ya kuminya uhuru wa wananchi.Asante kwa analysis yako isipokuwa Lisu hana credentials za kusimamia stands za mwalimu Nyerere hata siku moja, kwanza, mwalimu sio role model wake maana amekuwa akimpinga hadharani na kunawakati akimtupia lawama kwamba mwalimu aliifelisha nchi.
Enzi za Tanu uhuru ilikuwa ni must kuhubiriwa, saizi tunajitawala wenyewe, imebaki kazi tu.
Nikimquote Bob Marley siku ya uhuru Zimbabwe aliimba “ no more internal power struggle, we fight together to overcome the little trouble, soon we will find out who is the revolutionary, cause I don’t want my people to be tricked by missionaries”
Siasa copy and paste kutoka West, Africa sio mahali pake na zimetugharimu sana kama bara na kuturudisha nyuma. Nyerere alishawahi kusema Democracy zipo za aina nyingi, hata ya chama kimoja inaeza ikawa Democracy pia, japo hao Mabeberu hawaipendi hiyo maana inapunguza loop holes za usaliti. Mzungu anaendelea kwa kusupport usaliti worldwide.
Upo sahihi kwamba serikali zinahiyo tendecy, vipi kuhusu tendency za raia wenye kariba za kupigania Uhuru wa vyeti fake? Uhuru kwa kuigeuza nchi shamba la bibi? Uhuru wa kuhujumu uchumi? Uhuru wa siasa chafu? Uhuru wa kutukana viongozi? Uhuru wa kubeza kila kitu?Swala la Uhuru haliishi pale tu nchi inapopata uhuru. Kuna uhuru wa maamuzi kama nchi lakini pia kuna uhuru wa wananchi, vyote lazima vilindwe, Serikali huwa zina tendencies ya kuminya uhuru wa wananchi.
Uhuru sio kufanya chochote ukitakacho. Tunatakiwa tuongozwe na katiba na sheria NZURI.Upo sahihi kwamba serikali zinahiyo tendecy, vipi kuhusu tendency za raia wenye kariba za kupigania Uhuru wa vyeti fake? Uhuru kwa kuigeuza nchi shamba la bibi? Uhuru wa kuhujumu uchumi? Uhuru wa siasa chafu? Uhuru wa kutukana viongozi? Uhuru wa kubeza kila kitu?
MAGUFULI alisema hatufanyi kazi na mabata wala kuku wala nini bali tunafanya kazi na Mungu na Watanzania.Kazi na Uhuru halafu BATA.
Kazi na mshahara... ODMKazi na Uhuru (CHADEMA)
Jr[emoji769]
Kazi na Uhuru halafu BATA.
Dawa ya moto ni moto mkali zaidiYaani hata slogan zimeundwa kupingana slogan za CCM. Kwanini wapinzani wasiwe tu independent, waje na slogan ambazo haziko influenced na CCM?
Kuna nchi inayoenda bila watu wake kufanya kazi? KAZI na UHURUWote slogan zao ni copy ‘nd paste ya CCM..... upinzani hawajawahi fikiria kazi kama first priority. Asante magufuli watu kazi wanaiyona.
Ukifnya kazi bata utakula tu, ukifanya kazi pesa yako hupangiwi matumizi (utakuwa huru tu mwishowe)