Hapa kuiangalia sheria ya kodi na kanuni zake, Rais Samia umepiga bull

Endekea kusugua benchi kwa kalio hadi ustaafu, ndipo utajua kodi za kuanzisha hata frame na genge la nyanya.
It shows how myopic you are na jinsi gani unaridhishwa na vijimaneno vya tutafanya badala ya kufanya na siku zinaendelea kusonga na hakuna kinachobadilika...; Kwa kwa kisheria za Kodi hilo genge la nyanya mapato yake theoretically inabidi hata usilipe kodi ndio zile JPM alisema wakate vibali vya machinga...

Mbili you are out of touch kama unadhani katika watu waliopigika katika nchi hii ni watu ambao angalau walipata ajira hence wana hata security ya mafao (be it small) wengi ya watanzania hata hio pensheni watakuwa hawana kwahio hao unaosema wanasugua benchi they are the ones who are better off than majority...

Wewe endelea kupiga mapambio ya tutafanya, tuangalie na mkalitazame na siku zinazidi kusonga... (na mara nyingi story hizi zinazidi wakati wa uchaguzi)
 
Nimekushauri anzisha genge la nyanya ili upate uzoefu wa kile kinachoongelewa hapa. Maana hata machinga wa Kariakoo wanalielewa somo zaidi yako
 
Maneno tupu bila kubadilisha sheria kupitia bunge sawa na bure tu tutakuwa tunajifariji kwa maneno tu na kupiga makofi wakati machungu yako pale pale tuzingatie sana hilo maana hao waty wa mapato (TRA) was wanasimamia tu sheria zilizotungwa na kupitishhwa na bunge kisha kupitishwa na rais.
 
Hawa jamaa wawe na camera za begani kama police wa majuu
Kila wakiingia kwa mfanyabiashara lazima ziwe on mda wote
Yaani kama mbuzi na kengele
Watu wanajenga kwa mwaka mmoja
 
Pole wewe "vapour brain" which comes out so quickly and suddenly gets lost in the air!

Kuona tu ni far different na kutenda. Hujui hilo?

Unashangilia mtu kwa kuwa tu ameona bila kuchukua au kutenda, really?

Hawa watu wako (ma-CCM) kwani walishaona mangapi? Halafu ikawaje?

Hopeless Jidu La Mabambasi
Tatizo la ninyi vichwa vya panzi ni kuongelea vitu ambavyo hamvijui wala hamjawahi ku experience. Heri hata yule mmachinga wa Kariakoo anajua kero za kodi.
Its best to shut yr ass mouth kuliko ku spout stale and smelly ideas.
 
Kimsingi ni kama Serikali inapora wafanyabiashara kwa kalamu.

Rais Samia apewe maua yake kwa kuliona hili na kulifanyia kazi kwa kuziangalia upya sheria na kanuni hizi za kodi zisizo halali za Serikali kwa kuitumia TRA.
ccm washajua wadanganyika ni wajinga sana ... Wanatengeneza mianya ya uporaji, wanatajirika alafu kipindi cha uchaguzi wanazuga kutafuta ufumbuzi!

Yaani mwisho wa siku mnalazimika kumpongeza mwizi kwa kuwaonea huruma!
 
Maneno tupu bila kubadilisha sheria kupitia bunge sawa na bure tu tutakuwa tunajifariji kwa maneno tu na kupiga makofi wakati machungu yako pale pale tuzingatie sana hilo maana hao waty wa mapato (TRA) was wanasimamia tu sheria zilizotungwa na kupitishhwa na bunge kisha kupitishwa na rais.
Mkuu usiingie kundi la shallow thinkers.
Alichofanya mama Samia baada ya kukutana na Baraza la Biashara(Tanzania Business Council Baraza la Taifa la Biashara), Baraza linalowaunganisha wafanyabiashara wote Tanzania, ni kusikiliza kero za biashara.
Kero kubwa iliyojitokeza ni utekelezaji wa sheria za kodi na TRA na zinavyoathiri biashara.
Hivyo basi mama baada ya kusikiliza na kuelewa kuwa tatizo ni sheria za kodi zilizotungwa huko nyuma, amekubali kuzireview, na Baraza litatoa ushauri na mapendekezo yake.
Mama Samia aliahidi kuteua Tume itakayo ratibu mapendekezo hayo ya kubadili sheria za kodi zenye kukakasi
Tume hi hii imeteuliwa jana 31/07/2024.
IMG-20240731-WA0076.jpg
 
ccm washajua wadanganyika ni wajinga sana ... Wanatengeneza mianya ya uporaji, wanatajirika alafu kipindi cha uchaguzi wanazuga kutafuta ufumbuzi!

Yaani mwisho wa siku mnalazimika kumpongeza mwizi kwa kuwaonea huruma!
Umekula maharage ya wapi?
 
Tatizo la ninyi vichwa vya panzi ni kuongelea vitu ambavyo hamvijui wala hamjawahi ku experience. Heri hata yule mmachinga wa Kariakoo anajua kero za kodi.
Its best to shut yr ass mouth kuliko ku spout stale and smelly ideas.
That's your problem thinking you know better than others..

Hili ndio shida ya nyie makada wajinga wa CCM. Unaandika bila kujua unamwa - address nani..

For your infos, mimi ndiye huyo mmachinga wa Kariakoo. Kama unadhani sijui kero za kodi tunazo experience, basi fahamu tu kuwa wewe ndiye uliye mjinga hasa kudhani unajua na unatujua.!!

We know this government better than you do, you stupid ass..

So it's you Jidu La Mabambasi who have to shut your stinking mouth a listen to me..

Kuliona au kulitazama au kuunda tume Ili "kuangalia" is the same stupid drama from this failed CCM government under Samia Suluhu Hassan's presidency leaving the root cause of the whole problem..

She [Samia Suluhu Hassan] herself is a central problem for this whole saga. And you expect something better from her..?

Halafu wewe unakenua meno kushangilia ujinga uleule wa miaka yote eti "ameona" au anaangalia". Kwani wameona na kuyaangalia mangapi? Halafu ikawaje?
 
Its clear you are full of foul air exuding from your infertile and potent inner turmoil and haemorrhage emenating from lack of understanding of the entire issue.
Some say, argue with a fool, people may not notice the difference.
Good luck!
 
Sasa watu wengi wanafunga biashara wenyewe kutokana na mitaji kuanguka kutokana na kodi kubwa
 
Hii nchi ndio maana tunataka katiba mpya itakayoweka bayana mipaka ya rais kwenye uteuzi, rais anateua tu watu anavyojikia, tusipoangalia atakuja kututeulia naibu makamu wa rais.
Rais anaibuka na tume zisizi na kichwa wala miguu ile tume ya haki jinai sijui imenufaisha nini wakati kuna RPC Tanga amemteka mtu na kuamua kumficha hadi alipojisikia.
Hii tume imekaa kiupigaji hao wazee wakajipigie majiposho basi.
Rais atambue mshauri wake mkuu wa mambo ya kodi ni waziri wa fedha kama ameona ameshindwa kazi amuweke pembeni
 
Kwangu mimi hii Kamati ipitie kile Kikokotoo cha Kodi ya Magari.
Ile formula ni wizi wa mchana, haiwekani ununue gari m7 ushuru ulipe m9 hadi 10
 
Back
Top Bottom