Mkuu usiingie kundi la shallow thinkers.
Alichofanya mama Samia baada ya kukutana na Baraza la Biashara(Tanzania Business Council Baraza la Taifa la Biashara), Baraza linalowaunganisha wafanyabiashara wote Tanzania, ni kusikiliza kero za biashara.
Kero kubwa iliyojitokeza ni utekelezaji wa sheria za kodi na TRA na zinavyoathiri biashara.
Hivyo basi mama baada ya kusikiliza na kuelewa kuwa tatizo ni sheria za kodi zilizotungwa huko nyuma, amekubali kuzireview, na Baraza litatoa ushauri na mapendekezo yake.
Mama Samia aliahidi kuteua Tume itakayo ratibu mapendekezo hayo ya kubadili sheria za kodi zenye kukakasi
Tume hi hii imeteuliwa jana 31/07/2024.
View attachment 3058220