ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Karibu na Sanga mwarugesha ??! 😅🤦🏽♂️Exactly!
Lakini huyu mwana CCM Jidu La Mabambasi anakenua meno na kuchekacheka na wadanganyifu wenzake waliotuchezea kwa maneno yao miaka yote.
Eti "Asante Mama Samia kwa kuliona hili" utadhani kuona ndiyo kutenda..
Nimemuuliza mara kwa mara hivi kuona ndo kutenda? Walishayaona mangapi? Ikawaje?
Cha ajabu badala ajielewe na kujibu hoja, anarusha vijimatusi vya rejareja kwa kiingereza chake cha Mwamapalala huko Bariadi Simiyu kwao!