Hapa kuiangalia sheria ya kodi na kanuni zake, Rais Samia umepiga bull

Kodi na mambo ya Katiba wapi na wapi?
 
Kodi na mambo ya Katiba wapi na wapi?
Kwani hizo Sheria mbaya za Kodi ambazo zinalalamikiwa msingi wake ni nini Kama siyo Katiba ya nchi??
FYI: Katiba ya nchi ndio Sheria mama, Sheria zingine zote kabisa zilizopo kwenye nchi husika ni lazima ziendane au zirandane na matakwa ya Katika ya nchi. Sheria yoyote ile inayokwenda Kinyume na Katiba ya nchi basi Sheria hiyo itakuwa Batili.
 
Kwenye hili la kodi yupo sawa sana nadhani watakuja hadi kwenye sheria za kodi za magari yanayoingia Nchini ili watu walipe kodi wasikwepe maana kodi iliyopo hailipiki kwa baadhi ya magari tunakimbilia vimikweche tu..
 
Katiba na sheria za Kodi havihusiani ,VAT na Katiba wapi na wapi?

Huko walikokuwa wanaandamana Kuna Katiba Mpya ndio ilimwanbia Ruto aongeze Kodi na tozo?
Je, unazijua kazi za Katiba ya nchi kuhusiana na haya masuala ya Kiutawala yaliyopo kwenye nchi husika??
Constitution and other laws/legislations are there in order to govern the State.
 
Mkuu ukichanganya maharage na kokoto ukazila, lazima utapata mumivu ya tumbo.
Kila suala na watu wake.
Siasa na biashara na kodi wapi na wapi!
 
Acha chuki na matajiri, tafuta hela
 
1.Tume haina mfanyabiashara hata mmoja, sijui Kama mmeligundua hilo? Ni wasomi watupu na wabobezi lakini tungepata mawazo ya mfanyabiashara nguli kwenye tume

2.Kuna tume zinaundwa lakini hatuoni utekelezaji wa mapendekezo! Ripoti zinazotolewa hazifanyiwi kazi kabisa.

TUIPE MUDA NA USHIRIKIANO TUME, ILI WAFANYE KAZI IPASAVYO.
 
Nafikiri ujumbe huu utakuwa umemfikia mama tayari!
 
Kwahivyo bado suala liko kwenye majadiliano halijafika bungeni bado tutoe muda kwaajili ya utekelezaji kwasasa sheria za zamani zitaendelea kutumika mpaka hapo mabadiliko yatakapofanyika.
 
Hili nalo angalizo la msingi sana wale wachezaji hasa wa sekta husika (wafanyabiashara) wamewekwa nje tunaona kundi la wasomi tu tena walimu wa vyuoni waliowahi kuajiriwa serikalini kwa nafasi mbalimbali hii nafikiri inapaswa kuangaliwa pia.
 
Hili nalo angalizo la msingi sana wale wachezaji hasa wa sekta husika (wafanyabiashara) wamewekwa nje tunaona kundi la wasomi tu tena walimu wa vyuoni waliowahi kuajiriwa serikalini kwa nafasi mbalimbali hii nafikiri inapaswa kuangaliwa pia.
Ndiyo, wafanyabiashara wameenguliwa kabisa.

Ni mwendelezo wa makosa yale Yale ya siku zote.
'Mwanaume kuteuliwa ili kuongoza Wizara ya Wanawake na Akina Mama.'
 
Hiyo Tume inatakiwa ifanye kazi kweli ili watatue Kero za muda mrefu za Wafanyabiashara Tanzania kwa kuwa na Lundo la kodi zisizo na kichwa wala miguu...
 
By the way kwa kutokuona kwake mpaka muda huu inaonyesha ni vipi alikuwa hafanyi kazi yake (sababu haya malalamiko hayajaanza leo na hakuna mtu ambaye hajui)

Kwahio kwa hawa watumishi wetu ambao tunawalipa, kazi yao sio kuona na kutwambia kitu ambacho kipo wazi na tunakifahamu..., Kazi yao ni kufanya na kuondoa tatizo

Ila ndio hivyo wapo kwenye siasa kwa kuridhisha watu kwa vijimaneno visivyo na meno.... anangojea bajeti ipite alafu ndio aanzishe mchakato wa watu kuangalia ?
 
Exactly!

Lakini huyu mwana CCM Jidu La Mabambasi anakenua meno na kuchekacheka na wadanganyifu wenzake waliotuchezea kwa maneno yao miaka yote.

Eti "Asante Mama Samia kwa kuliona hili" utadhani kuona ndiyo kutenda..

Nimemuuliza mara kwa mara hivi kuona ndo kutenda? Walishayaona mangapi? Ikawaje?

Cha ajabu badala ajielewe na kujibu hoja, anarusha vijimatusi vya rejareja kwa kiingereza chake cha Mwamapalala huko Bariadi Simiyu kwao!
 
Its clear you are full of foul air exuding from your infertile and potent inner turmoil and haemorrhage emenating from lack of understanding of the entire issue.
Some say, argue with a fool, people may not notice the difference.
Good luck!

A fool is the one speaks without actions..

That's your president, Samia Suluhu Hassan and the entire CCM..

"...na hilo nalo mwende mliangalie...."

Good luck, Mr. Jidu La Mabambasi, fool No. 1.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…