DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela.
Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia hizo habari Wanasema hazifa.
Pia ukiwa home Ndani chakula kipo Chakutumia miezi mitatu haudaiwi Kodi na una balance ya kula miezi sita yaani unajikuta unapoteza hamu ya kula Kabisa.
Nahitimisha kuwa ukiwa katika uhaba kuna Huwezekano wa kupenda vitu ambavyo hauvipendi ila ni njaa tu.
Inawezekana kiu ndo hufanya MAJI kuwa matamu na Ni njaa ndo hufanya chakula kionekane kina ladha.