DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Labda mtu awe na shida ya kimaumbile kama ushoga nkNilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela.
Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia hizo habari Wanasema hazifa.
Pia ukiwa home Ndani chakula kipo Chakutumia miezi mitatu haudaiwi Kodi na una balance ya kula miezi sita yaani unajikuta unapoteza hamu ya kula Kabisa.
Nahitimisha kuwa ukiwa katika uhaba kuna Huwezekano wa kupenda vitu ambavyo hauvipendi ila ni njaa tu.
Inawezekana kiu ndo hufanya MAJI kuwa matamu na Ni njaa ndo hufanya chakula kionekane kina ladha.
PESA NI FIMBONilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela.
Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia hizo habari Wanasema hazifa.
Pia ukiwa home Ndani chakula kipo Chakutumia miezi mitatu haudaiwi Kodi na una balance ya kula miezi sita yaani unajikuta unapoteza hamu ya kula Kabisa.
Nahitimisha kuwa ukiwa katika uhaba kuna Huwezekano wa kupenda vitu ambavyo hauvipendi ila ni njaa tu.
Inawezekana kiu ndo hufanya MAJI kuwa matamu na Ni njaa ndo hufanya chakula kionekane kina ladha.
DuuPESA NI FIMBO
Ukiwa huna pesa unadharaulika na kila kitu. Iwe watu, wadudu, njaa pamoja na nyege zitakuona kama fala fulani hivi.
Ukiwa huna pesa, njaa zinakufata hapohapo ulipo zinakuchezea mpaka sharubu sababu zinajua huna cha kuzifanya. Ila kama AKAUNTI ZINASOMA, HATA ZENYEWE ZITAONA (In Diamond's voice) zitakaa mbali sababu utazihukumu kikatili, utazisulubu na mapaja ya kuku, mapizza, mapilau n.k
nyege pia zitaenda Futi efu nne sababu zinajua utazipa hukumu ya kiyakuza, kama ni mnyama utakuwa unamchinjia nyuma ya shingo
Namshangaa mleta madaPESA NI FIMBO

Moyo unakunjukaNilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela.
Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia hizo habari Wanasema hazifa.
Pia ukiwa home Ndani chakula kipo Chakutumia miezi mitatu haudaiwi Kodi na una balance ya kula miezi sita yaani unajikuta unapoteza hamu ya kula Kabisa.
Nahitimisha kuwa ukiwa katika uhaba kuna Huwezekano wa kupenda vitu ambavyo hauvipendi ila ni njaa tu.
Inawezekana kiu ndo hufanya MAJI kuwa matamu na Ni njaa ndo hufanya chakula kionekane kina ladha.
Kula korosho, maziwa, na ndizi mbivu kunywa maji yakutosha kijanaKingine cha kushangaza ata ukiwa na pesa ukipiga kimoja wala hauoni ni tatzo kawaida tu , ila ukiwa hauna pesa ukipiga kimoja utazunguka kutafuta ushauri na tiba
Korosho za nini mzee ,kuna mda kimoja kinakuepusha na mengi mkuu🤣🤣🤣Kula korosho, maziwa, na ndizi mbivu kunywa maji yakutosha kijana
Mkuu mbona una uchungu sna na hawa kataa ndoa[emoji16][emoji16][emoji16]Namshangaa mleta mada
Wenye pesa ndio huwa na nyege na ndio maana huamua kuoa
Maskini ndio vigumu nyege kuamka sababu kutwa anawaza ale nini maisha yaendaje
Mleta mada atakuwa maskini wa kutupwa
Watoto wa matajiri huoa na kuolewa mapema mno na wenzao wenye uwezo
Wachelewa sana kuoa na kuolewa au kukataa ndoa ni watoto.wa maskini na malofa
Mtoto wa Tajiri kila maulana au msichana anamtaka awe wa Tajiri au maskini ndio mana kwao huoa na kuolewa upesi
Piga vita umaskini sio ndoa
Ndoa ni kwa ajili ya wenye nacho
Maskini hatakiwi kuoa au kuolewa aende upadri au usista kama anaona ndoa mbaya na kusema kataa ndoa
Mkuu umetisha SanaPESA NI FIMBO
Ukiwa huna pesa unadharaulika na kila kitu. Iwe watu, wadudu, njaa pamoja na nyege zitakuona kama fala fulani hivi.
Ukiwa huna pesa, njaa zinakufata hapohapo ulipo zinakuchezea mpaka sharubu sababu zinajua huna cha kuzifanya. Ila kama AKAUNTI ZINASOMA, HATA ZENYEWE ZITAONA (In Diamond's voice) zitakaa mbali sababu utazihukumu kikatili, utazisulubu na mapaja ya kuku, mapizza, mapilau n.k
nyege pia zitaenda Futi efu nne sababu zinajua utazipa hukumu ya kiyakuza, kama ni mnyama utakuwa unamchinjia nyuma ya shingo
NakaziaSababu unaridhika nafsi
Nakubaliana na wewePesa ni prestige tu na ulinzi tosha...
Pesa inaweza kukulinda bila kuitumia
mfano watu wenye pesa wanaheshimika kila kona hata kama hajawahi kutoa pesa yake kusaidia jamii ...Pesa ni zaidi ya unavyojua ukiwa na pesa chuki inapungua ,njaa zinapungua ..
Mtu mweny pesa enzi za zamani akienda sehemu kweny migahawa inayofuatana kama ipo mingi unakuta wauzaji wanamgombania wengine wanataka ale bure kweny mgahawa wao ,nyuma yq pazia akila bure ile sehemu inakuwa kama marketing ya kuitangaza hapo kala bila ya kutumia pesa yake.