Hapa lazima Marioo kaona utupu wa mkwe

Hapa lazima Marioo kaona utupu wa mkwe

Ila Kajala hazeeki, toka enzi za bilicanas, beach bam, kucheza Gauo hadi leo bado wa moto
Yule rafiki yake Rose sijui kapotelea wapi
 
Jifunze kukomaa na yako mambo binafsi ya watu waachie wao wenyewe
Utakufa kwa stress za maisha ya watu wengne uache familia ikiteseka
 
Mwisho wa siku ni maisha yao na watoto wao, wewe inakusumbua nini namna wanavyojisikia?
 
Pana zile cycle sin family mtu anapita hadi na mama mkwe
 
Back
Top Bottom