FananiMedia
Member
- Jul 29, 2021
- 28
- 87
Yes!."Kwa miaka 4 sisi ndio Tumeiweka Tanzania kwenye ramani ya Soka Afrika. Mimi siwezi kukubali mdhamini kutupa hela sawa na wenzetu. Tuna mashabiki wengi hivyo mdhamini atafaidika zaidi kwetu kuliko timu nyingine. Tukishindwa kupata wadhamini, mimi nitatoa pesa zaidi"
Mo Dewji
Sasa kwa nini na wewe usifaidike nayo kama inawezekana? Wivu na Umaskini unakufanya uwaze hivi. Mi nakushauri nawe faidika na Simba au na Yanga. Au Azam....kufaidika ni Akili pia.Anafaidika sana na Simba. Anaona wivu Azam wakifaidika pia.
Mi nashauri aimiliki kabisa. Sisi wapenzi wa Simba tunatamani aichukue tu hata bure. Maana hakuna tunachotaka Simba zaidi ya Makombe.Kwanza na yeye asema anatoa kiasi gani Kwa matangazo aliyoweka kwenye jezi ya simba
Yupo katika utaratibu wa mwisho wa kuimiliki timu iwe ya familia kama ilivyo kampuni ya familia
Sawa familia ya kihindiMi nashauri aimiliki hii kabisa. Sisi wapenzi wa Simba tunatamani aichukue tu hata bure. Maana hakuna tunachotaka Simba zaidi ya Makombe.
Sijakuona siku nyingi upo?Anafaidika sana na Simba. Anaona wivu Azam wakifaidika pia.
Ukitaka kujua anafaidika sana na Simba kumbuka alivyoichukua African lyon kipindi kile ila akashindwa kupata faida pale, wakamwambia aende timu ya kwao Singida akagoma wakamwambia aanzishe timu yake kama Azam Bakhresa alichofanya akagoma, sasa kapata sehemu ya kuingiza pesa bila kupata shida na hiyo Bilion 20, utashangaa imejizungusha mulemule simba katika kipindi hiki kidogo, hakuna muhindi anayefanya biashara ya hasaraAnafaidika sana na Simba. Anaona wivu Azam wakifaidika pia.
Mawazo ya kimasikiniAnafaidika sana na Simba. Anaona wivu Azam wakifaidika pia.
Hizo ni mbinu za kubargain,ambazo ni very right,japo mie ni yanga"Kwa miaka 4 sisi ndio Tumeiweka Tanzania kwenye ramani ya Soka Afrika. Mimi siwezi kukubali mdhamini kutupa hela sawa na wenzetu. Tuna mashabiki wengi hivyo mdhamini atafaidika zaidi kwetu kuliko timu nyingine. Tukishindwa kupata wadhamini, mimi nitatoa pesa zaidi"
Mo Dewji
Na wewe ni familia ya kiarabu? Simba wanataka Vikombe. Miaka Minne wamepata vikombe na ndicho wanachotaka ikiwa ya Familia au ya Mtu binafsi sisi haituathiri kitu. La msingi wachezaji wanalipwa mishahara na Makokbe yanapatikana.Sawa familia ya kihindi
Nawatakia mchakato mwema wa kuibadili simba Kuwa timu ya familia
Hayo mambo Yanga tulipitia zamani."Kwa miaka 4 sisi ndio Tumeiweka Tanzania kwenye ramani ya Soka Afrika. Mimi siwezi kukubali mdhamini kutupa hela sawa na wenzetu. Tuna mashabiki wengi hivyo mdhamini atafaidika zaidi kwetu kuliko timu nyingine. Tukishindwa kupata wadhamini, mimi nitatoa pesa zaidi"
Mo Dewji
Kwani akifaidika ni kosa?! Kuna mijitu kama wewe mgeni akisoma ichi ulichoandika atatuona watz ni wajinga!!mnatuaibisha sana na mawazo yenu ya kimaskini,wewe baba yako alimlipia mama yako mahari ya tende na kiroba cha unga,ila amefaidika kwa kukuzaa wewe na ujinga wakoUkitaka kujua anafaidika sana na Simba kumbuka alivyoichukua African lyon kipindi kile ila akashindwa kupata faida pale, wakamwambia aende timu ya kwao Singida akagoma wakamwambia aanzishe timu yake kama Azam Bakhresa alichofanya akagoma, sasa kapata sehemu ya kuingiza pesa bila kupata shida na hiyo Bilion 20, utashangaa imejizungusha mulemule simba katika kipindi hiki kidogo, hakuna muhindi anayefanya biashara ya hasara
Siku akifilisika? Maana yake ndio utakuwa mwisho wa simba? Ndio maana wataalamu wa biashara wanashauri wamiliki wa hisa hizo 49 wawe angalau 2 mpaka 4Mi nashauri aimiliki kabisa. Sisi wapenzi wa Simba tunatamani aichukue tu hata bure. Maana hakuna tunachotaka Simba zaidi ya Makombe.
Unijua biashara ya hisa wewe? Wataalamu gani waliosema haya uliyoandika? Kuna watu ni wajinga sana ukiwepo wewe,unawakilisha wajinga wote nchini,Simba ikiingia kwenye soko la hisa MO anaweza kuuza na kununua hisa muda wowote,kwa akili zako unafikili hisa ni mayai tu unaweka kwenye tray?!Siku akifilisika? Maana yake ndio utakuwa mwisho wa simba? Ndio maana wataalamu wa biashara wanashauri wamiliki wa hisa hizo 49 wawe angalau 2 mpaka 4
Hata mmoja akiyumba anauza hisa zake kwa mmiliki mwenzie kirahisi.