FananiMedia
Member
- Jul 29, 2021
- 28
- 87
"Kwa miaka 4 sisi ndio Tumeiweka Tanzania kwenye ramani ya Soka Afrika. Mimi siwezi kukubali mdhamini kutupa hela sawa na wenzetu. Tuna mashabiki wengi hivyo mdhamini atafaidika zaidi kwetu kuliko timu nyingine. Tukishindwa kupata wadhamini, mimi nitatoa pesa zaidi"
Mo Dewji
Mo Dewji