Hapa Mo yupo sahihi ama la!?

Hapa Mo yupo sahihi ama la!?

"Kwa miaka 4 sisi ndio Tumeiweka Tanzania kwenye ramani ya Soka Afrika. Mimi siwezi kukubali mdhamini kutupa hela sawa na wenzetu. Tuna mashabiki wengi hivyo mdhamini atafaidika zaidi kwetu kuliko timu nyingine. Tukishindwa kupata wadhamini, mimi nitatoa pesa zaidi"

Mo Dewji
Yes!.

Yupo sahihi sana. Ni aibu kuipa Simba mkataba wenye thamani sawa na ule wa Utopolo.

Waongeze mpunga. Wala siyo dhambi. Simba is too far from Gongowazi.
 
Kwanza na yeye asema anatoa kiasi gani Kwa matangazo aliyoweka kwenye jezi ya simba

Yupo katika utaratibu wa mwisho wa kuimiliki timu iwe ya familia kama ilivyo kampuni ya familia
Mi nashauri aimiliki kabisa. Sisi wapenzi wa Simba tunatamani aichukue tu hata bure. Maana hakuna tunachotaka Simba zaidi ya Makombe.
 
Anafaidika sana na Simba. Anaona wivu Azam wakifaidika pia.
Ukitaka kujua anafaidika sana na Simba kumbuka alivyoichukua African lyon kipindi kile ila akashindwa kupata faida pale, wakamwambia aende timu ya kwao Singida akagoma wakamwambia aanzishe timu yake kama Azam Bakhresa alichofanya akagoma, sasa kapata sehemu ya kuingiza pesa bila kupata shida na hiyo Bilion 20, utashangaa imejizungusha mulemule simba katika kipindi hiki kidogo, hakuna muhindi anayefanya biashara ya hasara
 
Sijaelewa ? Kwani alikatazwa kwenye kuingia kwenye Bidding..., na huyo mdhamini anadhami Klabu Bingwa Africa au Ligi ya Tanzania Bara ?, Na Bila wapinzani katika Ligi Simba ingecheza peke yake kwenye ligi ? Yaani Simba A, B, C, na D

Ndio maana hii ikaitwa ligi na sio Timu inayowakilisha vema Afrika kwa miaka minne... Sio mbaya akitoa zaidi wala sio mbaya yeye ndio akitoa dau kubwa kuliko alilotoa mwenzake
 
"Kwa miaka 4 sisi ndio Tumeiweka Tanzania kwenye ramani ya Soka Afrika. Mimi siwezi kukubali mdhamini kutupa hela sawa na wenzetu. Tuna mashabiki wengi hivyo mdhamini atafaidika zaidi kwetu kuliko timu nyingine. Tukishindwa kupata wadhamini, mimi nitatoa pesa zaidi"

Mo Dewji
Hizo ni mbinu za kubargain,ambazo ni very right,japo mie ni yanga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sawa familia ya kihindi
Nawatakia mchakato mwema wa kuibadili simba Kuwa timu ya familia
Na wewe ni familia ya kiarabu? Simba wanataka Vikombe. Miaka Minne wamepata vikombe na ndicho wanachotaka ikiwa ya Familia au ya Mtu binafsi sisi haituathiri kitu. La msingi wachezaji wanalipwa mishahara na Makokbe yanapatikana.
 
"Kwa miaka 4 sisi ndio Tumeiweka Tanzania kwenye ramani ya Soka Afrika. Mimi siwezi kukubali mdhamini kutupa hela sawa na wenzetu. Tuna mashabiki wengi hivyo mdhamini atafaidika zaidi kwetu kuliko timu nyingine. Tukishindwa kupata wadhamini, mimi nitatoa pesa zaidi"

Mo Dewji
Hayo mambo Yanga tulipitia zamani.

Manji alisema hivyhivyo na mitano baadae tumeingia dili kubwa zaidi na Azam.

Simba nao wanaweza kuingia dili kubwa zaidi ila kigezo kisiwe Young Africans.

Dewji hana kigezo na hakuna polling company inayojulikana kimataifa imemuhakikishia kuwa Simba ina mashabiki wengi kuliko Young Africans. hana empirical evidence.

Kuhusu kushiriki michuano ya Africa, Katika miaka minne pia ilitolewa mara mbili hatua za mwanzo na Azam hana rights za mechi za kimataifa, soko lake ni Tanzania na nchi Jirani.

So, he's dead wrong!
 
Ukitaka kujua anafaidika sana na Simba kumbuka alivyoichukua African lyon kipindi kile ila akashindwa kupata faida pale, wakamwambia aende timu ya kwao Singida akagoma wakamwambia aanzishe timu yake kama Azam Bakhresa alichofanya akagoma, sasa kapata sehemu ya kuingiza pesa bila kupata shida na hiyo Bilion 20, utashangaa imejizungusha mulemule simba katika kipindi hiki kidogo, hakuna muhindi anayefanya biashara ya hasara
Kwani akifaidika ni kosa?! Kuna mijitu kama wewe mgeni akisoma ichi ulichoandika atatuona watz ni wajinga!!mnatuaibisha sana na mawazo yenu ya kimaskini,wewe baba yako alimlipia mama yako mahari ya tende na kiroba cha unga,ila amefaidika kwa kukuzaa wewe na ujinga wako
 
Mi nashauri aimiliki kabisa. Sisi wapenzi wa Simba tunatamani aichukue tu hata bure. Maana hakuna tunachotaka Simba zaidi ya Makombe.
Siku akifilisika? Maana yake ndio utakuwa mwisho wa simba? Ndio maana wataalamu wa biashara wanashauri wamiliki wa hisa hizo 49 wawe angalau 2 mpaka 4

Hata mmoja akiyumba anauza hisa zake kwa mmiliki mwenzie kirahisi.
 
Unijua biashara ya hisa wewe? Wataalamu gani waliosema haya uliyoandika? Kuna watu ni wajinga sana ukiwepo wewe,unawakilisha wajinga wote nchini,Simba ikiingia kwenye soko la hisa MO anaweza kuuza na kununua hisa muda wowote,kwa akili zako unafikili hisa ni mayai tu unaweka kwenye tray?!
Hata yanga ikiingia soko la hisa formula ni Ile ile kuuza na kununua,muwe watatu uwe mmoja muwe milioni moja formula ni moja kuuza na kununua hisa.
 
Back
Top Bottom