hahahahah Harmo Rappa ameanza kuwasumbua hahaha yani hivi Mose iyobo yeye amejiangalia?
Hivi mwanaume mzima unafanya vile tena kwa mwanaume mwenzako? aisee huyu jamaa kanishangaza aisee
Hivi yeye ndio ana sura nzuri?
Mtu ambaye huwa ana ingiza watoto kwenye ugpmvi wa wazazi namuonaga ana roho mbaya kama muuaji
She z just a kid, amuache tuu
Duuh alafi sja zoea kujadili habari za kishilawadu ila hapo kazingua
Yaan watoto hasa wadogo siyo poKweli kabisa kakosea kumuweka malaika asiyejua chochote(cookie mzuri basi tu wenye wivu wanampondea kuumiza wazazi wake)
Hahaa ila ushilawadu mtamu,unapunguza stress
dhambi ya kukufuru ni mbaya jombaa tema mate chini...Heheheh ila kwel jamaa kafanana sana na nyani
Ingia u tube utaupata au nenda global publishelKaongea nini,lete ushahidi
Yaaaani sio sifa kabisa mwenyeezi mungu sio wa kukejeliwa ila nami natoa maoni juuu kwa mungu na chini kwa mzungu wooote mnaomsema vibsya mwenzenu mungu atawalipizia na mtamtafuta kumuomba msamaha anaebisha aweke uzi huuu vizuriHeheheh ila kwel jamaa kafanana sana na nyani