Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

Ubaguzi wa rangi bado upo angekua mzungu ndo kaongea ingekua shida kidogo
 
Watanzania bana, kuna watu wana haki yakutukanwa matusi yote 24/7 ila wengine hawatakiwi kuguswa. Nyie wahubiri waubaguzi siku zote mnakuwa wapi? Unafiki tu
 
Ulianza vizuri sana, umekuja kuharibu ulivyowaingiza WCB.

Ila kiukweli huyo Iyobo mp...mbavu kinoma. Kulikuwa kuna haja gan ya kufanya alichofanya?
Naiman kuna hatua mbele kamsogezea Harmorapa.
 
Eeeh Asante hope kapata ujumbe....
 
Hahahaha
Snow hapo uko sawa, yaani nimetumia siku nzima kuwaza kumtetea ila nimeshindwa. Umetisha
Hilo hata siyo jina liitwa kwa ubaya sema watu wamepanic haraka
 
Bora ajiite kuliko kuitwa huoni kunatofauti
Black kumuita black mwenzake Nigger huwa inachukuliwa kawaida ila mzungu kumuita black nigger ni kumdhalilisha.....

mazungumzo huwa yanategemea mambo mengi mfano mahusiano baina ya wazungumzaji, eneo mnalozungumzia, maada mnayozungumzia na mambo mengine.

mahusiano kati ya Iyobo na Harmoraper hayamruhusu Iyobo kumuita Harmorapper nyani....

Angekuwa amemuita Raymond Nyani wala hata isingekuwa ishu
 
Tokea nyakati za akina Abrahamu Lincoln, enzi za akina Marcus garvey, Martin luther king Jr, Seidar Sengho, wakati huo wote pamekuwa na harakati za kumkomboa mtu mweusi dhid ya ubaguz wa rangi....

Mengi mabaya mfano utumwa, ukoloni na yote waliyofanyia waafrika ilitokana na rangi za ngoz zao. Waafrika wamekuwa wakiitwa nyani, sokwe na majina mengine.

Leo hii Iyobo anamuita Harmorapper Nyani... duuh hawa wote ni waafrika.

Elimu ni muhimu sana!!!!
 
Ufafanuzi kwenye kujamba ukweni
 
Huyo jamaa ni punda wanamuita FUSO vitu viwili na ziada... Ndio kafikisha genge lake hapo lilipo.. Pesa ya ngada kama mchawi unaweza kujipeleka kwa wazee mwenyewe...kibri
 
Sasa Kwa hapa nani nyani kama si Moze iyobo maana dah! Alivo utazani kamwagiwa oil chafu vile
 
Ila ni kujisahau tu kwa sababu sisi pia tumetoka kwa hao manyani na masokwe. Kwa hiyo kama mtu anakuita nyani mwambie asanteeeeeeee.............lakini usisahau kumwambia NYANI MWENZANGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…