Hapa mtaani kuna bodaboda amejenga halafu mimi mtumishi hata uwanja bado

Hapa mtaani kuna bodaboda amejenga halafu mimi mtumishi hata uwanja bado

kwa dar wastani wa bodaboda kwa siku ni 40k

mshahara qa mwalimu per day wastani 21k

daktari 25k
LAkini ukumbuke mwendesha pikipiki hiyo 40K haipati kila siku.
Ila hao waajiriwa ni uhakika.

Halafu wastani wa mshahara wa Dr kwa siku sio hiyo.
MD kwa sasa anapolipwa kama 1.7- 1.8

After deductions anabaki na kama 1.3 - 1.4.

Hapo hujaweka posho nyingine.

Kiufupi acha ujinga wa kuringanisha Dr na bodaboda.
 
Md ni 1.5 halafu mkuu hujakata na bodi ya mikopo hapo
 
Life is how you make it!
Usijali ila huyo boda akutie wivu ununue uwanja wako na kuanza kujenga taratibu!
Inawezekana hujachelewa kwa lo lote!
 
Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
Mkuu kila jambo na wakati wake. Na wewe muda utafika utashusha mjengo. Cha msingi jipange vijiakiba kidogo kidogo utafanikiwa
 
Watumishi si mnataka nyumba kama zinavyoonekana kwenye computer...
Wenzenu vyumba viwili slope kaingia
 
Back
Top Bottom