Hapa mtaani kuna bodaboda amejenga halafu mimi mtumishi hata uwanja bado

Hapa mtaani kuna bodaboda amejenga halafu mimi mtumishi hata uwanja bado

Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
... akili mgando kama hizi ndo huwa zinazaa marais wenye mawazo finyu ambao kwao kipaumbele ni kudhoofisha sekta binafsi ili watumishi wavivu kama wewe wafurahi!
 
Kama mtumishi mwenyewe ni mwalimu haina haja ya kushangaa sn mana walim kujenga n ishu kubwa sn labda achukue mkopo tena kwa majiji makubwa hata huo mkopo anaweza asijenge
Hivi Tanzania Kuna majiji makubwa, ? Ni yapi hayo!?auu mi uzee ndio unaniandama, mfano kaliakoo kibamba nauli haizidi elfu Tano, mwisho wa Jiji, ng'ambo ya pili mkoa wa pwani
 
katika maisha kila mtu ana mwanzo wake wa safari, hii ya kujifananisha na huyu na yule.
Lazima ikufanye kuwa na wakati mgumu.
Kuna kipindi, staff mwenzetu aliacha kazi ya Milion 1.2 kwa mwezi, Bima ya afya nk nk. kisha kaenda kufanya kazi ya kununua Ng'ombe Tabora singida na kuwaleta Dsm vingunguti.(Eti mtu anaacha kazi NBC kwenda kununua N'gombe! )
Na akaongeza biashara ya kusafirisha Mkaa.Baada ya muda mfupi kawa Tajiri na uwezo kuliko tuliobaki kufurahia status ya ajira.
 
Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
"Comparison is the thief of joy".....huyo boda boda ni shoga na hua anasadirishaga mzigo wa methamphetamine,haya njoo PM,niwe basha wako nawe ujenge
 
Si umechagua utumishi kwa hiari yako? Sasa je? Maboda boda ndo mabwana zako uliopanga kuwatumikia so kaa kwa password
 
LAkini ukumbuke mwendesha pikipiki hiyo 40K haipati kila siku.
Ila hao waajiriwa ni uhakika.

Halafu wastani wa mshahara wa Dr kwa siku sio hiyo.
MD kwa sasa anapolipwa kama 1.7- 1.8

After deductions anabaki na kama 1.3 - 1.4.

Hapo hujaweka posho nyingine.

Kiufupi acha ujinga wa kuringanisha Dr na bodaboda.
Duu kumbe wanalipwa hele ndogo hivyo?
 
Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
Usiseme sisi watumishi, sema wewe mtumishi ambaye hujafanikiwa kimaisha hadi unapitwa na Bodaboda.

Kumbuka hata mama Abdul naye ni mtumishi wa umma tena ndio mtumishi namba moja.
 
Usiseme sisi watumishi, sema wewe mtumishi ambaye hujafanikiwa kimaisha hadi unapitwa na Bodaboda.

Kumbuka hata mama Abdul naye ni mtumishi wa umma tena ndio mtumishi namba moja.
Unamuita boss wako mama Abdul ? ngoja next time akunyime tenda ya kuuza madafu ikulu.
 
Boda bodo sio mwenzio mualimu kipato chake kiko juu anapata wasitani wa sh 30k kwa 50k kwa siku mwezi ni 900k kwa 1.5m, haina kodi au bima auNSSF wewe mualimu kwa mwenzi 560k paye, Nhif, CWT nk unabakiza 450k utaweza kuishi kweli?
Lakini ya mwalimu ina uhakika,haina kurisk maisha na ajali kwa boda boda,halafu huyo boda boda unaweza kuta ana bishara zingine mbali na hiyo.
 
Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
Acha kufukuzana na maisha ya watu ujui behind the scene kuna nini. Panga mipango weka reality mark time yako ya kujifanyia personal audit
 
LAkini ukumbuke mwendesha pikipiki hiyo 40K haipati kila siku.
Ila hao waajiriwa ni uhakika.

Halafu wastani wa mshahara wa Dr kwa siku sio hiyo.
MD kwa sasa anapolipwa kama 1.7- 1.8

After deductions anabaki na kama 1.3 - 1.4.

Hapo hujaweka posho nyingine.

Kiufupi acha ujinga wa kuringanisha Dr na bodaboda.
md wa wap analipwa hiyo hela au niweke
LAkini ukumbuke mwendesha pikipiki hiyo 40K haipati kila siku.
Ila hao waajiriwa ni uhakika.

Halafu wastani wa mshahara wa Dr kwa siku sio hiyo.
MD kwa sasa anapolipwa kama 1.7- 1.8

After deductions anabaki na kama 1.3 - 1.4.

Hapo hujaweka posho nyingine.

Kiufupi acha ujinga wa kuringanisha Dr na bodaboda.
Tanzania take home ya daktari md ni upuuzi tu
 
Back
Top Bottom