Hapa mtaani kuna bodaboda amejenga halafu mimi mtumishi hata uwanja bado

Hapa mtaani kuna bodaboda amejenga halafu mimi mtumishi hata uwanja bado

Ni
md wa wap analipwa hiyo hela au niweke

Tanzania take home ya daktari md ni upuuzi tu
Niko chini ya miguu yenu ,ikiwapendeza naomba tujikite kwenye mada ya bodaboda na anymous mtumishi kutokuwa na nyumba ila habari za Md sijui anapokea shilingi kadhaa tuachane nazo .

Natanguliza shukrani ikiwa nitaeleweka .
MENEMENE TEKERI NA PERESI

Kwasasa ivumwe .
 
Kuna mafundi viatu, wauza vyuma chakavu na bodaboda wanamiliki magorofa hivyo kaa kwakutulia mkuu
 
Umesoma mpaka level gani ya elimu? Siku hizi vijana wadogo wasio na elimu kubwa ndio wanaojenga nyumba za kusisimua kuliko hata mtumishi wa umma wa kada ya chini. Bodaboda ndio wanaojenga haraka
 
Back
Top Bottom