Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... akili mgando kama hizi ndo huwa zinazaa marais wenye mawazo finyu ambao kwao kipaumbele ni kudhoofisha sekta binafsi ili watumishi wavivu kama wewe wafurahi!Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
Hivi Tanzania Kuna majiji makubwa, ? Ni yapi hayo!?auu mi uzee ndio unaniandama, mfano kaliakoo kibamba nauli haizidi elfu Tano, mwisho wa Jiji, ng'ambo ya pili mkoa wa pwaniKama mtumishi mwenyewe ni mwalimu haina haja ya kushangaa sn mana walim kujenga n ishu kubwa sn labda achukue mkopo tena kwa majiji makubwa hata huo mkopo anaweza asijenge
"Comparison is the thief of joy".....huyo boda boda ni shoga na hua anasadirishaga mzigo wa methamphetamine,haya njoo PM,niwe basha wako nawe ujengeHii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
Ndipo hapo namshangaa jamaa ananafanya kazi saa ngapi?
Duu kumbe wanalipwa hele ndogo hivyo?LAkini ukumbuke mwendesha pikipiki hiyo 40K haipati kila siku.
Ila hao waajiriwa ni uhakika.
Halafu wastani wa mshahara wa Dr kwa siku sio hiyo.
MD kwa sasa anapolipwa kama 1.7- 1.8
After deductions anabaki na kama 1.3 - 1.4.
Hapo hujaweka posho nyingine.
Kiufupi acha ujinga wa kuringanisha Dr na bodaboda.
Usiseme sisi watumishi, sema wewe mtumishi ambaye hujafanikiwa kimaisha hadi unapitwa na Bodaboda.Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
Wazo zuri.Mkuu chukua mkopo nunua boda ingia mtaani utajenga kama yeye
Unamuita boss wako mama Abdul ? ngoja next time akunyime tenda ya kuuza madafu ikulu.Usiseme sisi watumishi, sema wewe mtumishi ambaye hujafanikiwa kimaisha hadi unapitwa na Bodaboda.
Kumbuka hata mama Abdul naye ni mtumishi wa umma tena ndio mtumishi namba moja.
Lakini ya mwalimu ina uhakika,haina kurisk maisha na ajali kwa boda boda,halafu huyo boda boda unaweza kuta ana bishara zingine mbali na hiyo.Boda bodo sio mwenzio mualimu kipato chake kiko juu anapata wasitani wa sh 30k kwa 50k kwa siku mwezi ni 900k kwa 1.5m, haina kodi au bima auNSSF wewe mualimu kwa mwenzi 560k paye, Nhif, CWT nk unabakiza 450k utaweza kuishi kweli?
Biashara ya kwenye makaratsi iyo. Nunua boda mpe kijana awe analeta hesabu ndio utajua ujui.Kwhy unanimbia mkuu nikinunua pikipiki nikampa kijana mwaminifu kuna uwezekano wa kuvuta kwa mwezi 400K.?
Acha kufukuzana na maisha ya watu ujui behind the scene kuna nini. Panga mipango weka reality mark time yako ya kujifanyia personal auditHii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
Kwa kweli huu uzi bila mpwayungu haunogi๐๐๐Mpwayungu Village akitia neno na mimi natia
md wa wap analipwa hiyo hela au niwekeLAkini ukumbuke mwendesha pikipiki hiyo 40K haipati kila siku.
Ila hao waajiriwa ni uhakika.
Halafu wastani wa mshahara wa Dr kwa siku sio hiyo.
MD kwa sasa anapolipwa kama 1.7- 1.8
After deductions anabaki na kama 1.3 - 1.4.
Hapo hujaweka posho nyingine.
Kiufupi acha ujinga wa kuringanisha Dr na bodaboda.
Tanzania take home ya daktari md ni upuuzi tuLAkini ukumbuke mwendesha pikipiki hiyo 40K haipati kila siku.
Ila hao waajiriwa ni uhakika.
Halafu wastani wa mshahara wa Dr kwa siku sio hiyo.
MD kwa sasa anapolipwa kama 1.7- 1.8
After deductions anabaki na kama 1.3 - 1.4.
Hapo hujaweka posho nyingine.
Kiufupi acha ujinga wa kuringanisha Dr na bodaboda.
kwa dar wastani wa bodaboda kwa siku ni 40k
mshahara qa mwalimu per day wastani 21k
daktari 25k
Kwhy unanimbia mkuu nikinunua pikipiki nikampa kijana mwaminifu kuna uwezekano wa kuvuta kwa mwezi 400K.?
๐๐kwa wahenga mtakuwa mnakumbuka hekaya za kautipe, mambo ya kutamani vya watu yalimkimbiza mombasa.
Wapuuzi wamekutisha ukaogopa.Niliambiwa boma kusimamisha na "mafundi wa jf" ni milioni 27 nikasema wakijenga wao inatosha sio lazima wote tujenge...