kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Nasikia eti hadi madereva pia wa bodaboda,Bajaj na kenta za mtaani pia wanaroga ili kupata diliEndelea na imani yako hyo hyo.
Kuna raia kitaa wanajua kuloga kijana. Ila mi nawakomeshaga. Watawaonea wajinga wajinga tu.
Duh hawa jamaa balaa tupuWapo wengi na kama ndo una miezi 3 ukifika miezi 6 ya biashara ndo utaanza kupata changamoto ya kuishiwa bidhaa na pesa haionekani.
Mkuu unawakomeshaje mi wananiumiza sana huwa nakuta tu 20 hakuna au 40 kuna siku 70elf wakati nilizehasabu zilikuwa sawa, roho iliniuma sana kuna watu wananishauli niende kwa waganga ila bado siwaamin hata hao wanganga.Endelea na imani yako hyo hyo.
Kuna raia kitaa wanajua kuloga kijana. Ila mi nawakomeshaga. Watawaonea wajinga wajinga tu.
Hatari
Mkuu dawa yako hawa jamaa ni maombi tu na kumwamini Mungu!Haya myasemayo ni kweli aisee,,nina biashara ya uwakala hao machuma ulete wanachukua hela sanaaaa sijui nifanyaje kuepuka hii kitu nakaribia kuacha sasa too much
Sawa mkuu,,ngoja niwaambie vijana kabla ya kuanza wawe wanasaliMkuu dawa yako hawa jamaa ni maombi tu na kumwamini Mungu!
kijiji gan hchoHawa jamaa wanakera sana ukicheki Ajira hakuna alafu unapata pesa kdogo then unafungua mradi wako wao nao wanakuja kukuchukulia, yan mpaka wanawafanya watu wawe washirikina. Nipo bush Huku kuna had nyoka wa kuchukulia watu pesa madukani.
Nunua panga jipya linoe af tafuta na maji mengi yatie chumvi mfuko mmoja kwa kadri ya iman yako ukitaka kuanza biashara unasali ukishamalza unachukua yale maji yenye chumvi unanyunyuzia kwenye lile panga unasema kiumbe yeyote atakaeingia humu kwa njia isiyo ya kibinadamu namchinja yan hapo overrrrHaya myasemayo ni kweli aisee,,nina biashara ya uwakala hao machuma ulete wanachukua hela sanaaaa sijui nifanyaje kuepuka hii kitu nakaribia kuacha sasa too much
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unawakomeshaje mi wananiumiza sana huwa nakuta tu 20 hakuna au 40 kuna siku 70elf wakati nilizehasabu zilikuwa sawa, roho iliniuma sana kuna watu wananishauli niende kwa waganga ila bado siwaamin hata hao wanganga.