Hapa mtaani Kuna mfanya biashara chuma ulete, hivi Kuna ukweli juu ya hawa watu?

Hapa mtaani Kuna mfanya biashara chuma ulete, hivi Kuna ukweli juu ya hawa watu?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Nimeingia mjini mwezi wa 3 Sasa nimepata ripot Kuna jamaa mfanya biashara anakomba pesa za watu kwa njia ya giza.. Binafsi sijawahi shuhudia how this it oparate.. Mimi nimeokoka na mwamini Yesu hizi kitu Kwangu hapana!

Kuna siku jamaa kaingia kwenye banda langu la biashara Kaanza kuniuliza nasali wapi mh nilihisi mashaka kidogo wakuu hawa watu kuweni makini
 
Endelea na imani yako hyo hyo.

Kuna raia kitaa wanajua kuloga kijana. Ila mi nawakomeshaga. Watawaonea wajinga wajinga tu.
 
Mtaani biashara zimakufa nyingi kisa hao jamaa ila unaweza kupunguza kupigwa iwapo utazungushia chumvi na ndimu katika biashara yako ila jinsi na namna yakufanya hivyo njoo pm maana kazi za watu hizo.
 
Endelea na imani yako hyo hyo.

Kuna raia kitaa wanajua kuloga kijana. Ila mi nawakomeshaga. Watawaonea wajinga wajinga tu.
Mkuu unawakomeshaje mi wananiumiza sana huwa nakuta tu 20 hakuna au 40 kuna siku 70elf wakati nilizehasabu zilikuwa sawa, roho iliniuma sana kuna watu wananishauli niende kwa waganga ila bado siwaamin hata hao wanganga.
 
Haya myasemayo ni kweli aisee,,nina biashara ya uwakala hao machuma ulete wanachukua hela sanaaaa sijui nifanyaje kuepuka hii kitu nakaribia kuacha sasa too much
 
Hawa jamaa wanakera sana ukicheki Ajira hakuna alafu unapata pesa kdogo then unafungua mradi wako wao nao wanakuja kukuchukulia, yan mpaka wanawafanya watu wawe washirikina. Nipo bush Huku kuna had nyoka wa kuchukulia watu pesa madukani.
 
kijiji gan hcho
 
Haya myasemayo ni kweli aisee,,nina biashara ya uwakala hao machuma ulete wanachukua hela sanaaaa sijui nifanyaje kuepuka hii kitu nakaribia kuacha sasa too much
Nunua panga jipya linoe af tafuta na maji mengi yatie chumvi mfuko mmoja kwa kadri ya iman yako ukitaka kuanza biashara unasali ukishamalza unachukua yale maji yenye chumvi unanyunyuzia kwenye lile panga unasema kiumbe yeyote atakaeingia humu kwa njia isiyo ya kibinadamu namchinja yan hapo overrrr
 
Mkuu unawakomeshaje mi wananiumiza sana huwa nakuta tu 20 hakuna au 40 kuna siku 70elf wakati nilizehasabu zilikuwa sawa, roho iliniuma sana kuna watu wananishauli niende kwa waganga ila bado siwaamin hata hao wanganga.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mimi nina face the same problem ila siamini hili swala nahisi ni upepo wa biashara umekaa vibaya nchini kwa sababu ya mambo ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom