thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
.
Piga picha na simu yako.Nipo Hospital ya Muhimbili hapa tangu tarehe 29 October , nimeshuhudia magari yakisomba maiti nyingi mno.
Siku ya leo kwa mfano nimeshuhudia magari zaidi ya sita yamejazwa miili ya ndugu zetu waliouawa.
Baada ya kuona kama watu wanahesabu idadi ya magari hayo wakabadili njia , mengine yanaingilia Geti la MUHAS , Mengine MNH,
Lakini pia nilitaarifiwa na rafiki yangu daktari kuwa kulikuwa na maagizo ya kuwamalizia majeruhi wa maandamano wanaofikishwa hapo japo yalipuuziwa.
Serikali imezima mtandao na kuwauwa watanzania gizani.
Pengine watu wengi hawajui hali za ndugu zao waliofikishwa kama maiti lakini ukweli ni kuwa kuna misiba mingi mno.
Unafikiri watu wataogopa?Nipo Hospital ya Muhimbili hapa tangu tarehe 29 October , nimeshuhudia magari yakisomba maiti nyingi mno.
Siku ya leo kwa mfano nimeshuhudia magari zaidi ya sita yamejazwa miili ya ndugu zetu waliouawa.
Baada ya kuona kama watu wanahesabu idadi ya magari hayo wakabadili njia , mengine yanaingilia Geti la MUHAS , Mengine MNH,
Lakini pia nilitaarifiwa na rafiki yangu daktari kuwa kulikuwa na maagizo ya kuwamalizia majeruhi wa maandamano wanaofikishwa hapo japo yalipuuziwa.
Serikali imezima mtandao na kuwauwa watanzania gizani.
Pengine watu wengi hawajui hali za ndugu zao waliofikishwa kama maiti lakini ukweli ni kuwa kuna misiba mingi mno.
Ndiyo kwaaanza wanatuamshia ari kwasababu hapo ndiyo wanatupatia sababu ya kwanini hatupaswi kuwa waoga ,maana hata hao wenzetu waliyolala walikuwa kama sisi .Unafikiri watu wataogopa?
Nipo Hospital ya Muhimbili hapa tangu tarehe 29 October , nimeshuhudia magari yakisomba maiti nyingi mno.
Siku ya leo kwa mfano nimeshuhudia magari zaidi ya sita yamejazwa miili ya ndugu zetu waliouawa.
Baada ya kuona kama watu wanahesabu idadi ya magari hayo wakabadili njia , mengine yanaingilia Geti la MUHAS , Mengine MNH,
Lakini pia nilitaarifiwa na rafiki yangu daktari kuwa kulikuwa na maagizo ya kuwamalizia majeruhi wa maandamano wanaofikishwa hapo japo yalipuuziwa.
Serikali imezima mtandao na kuwauwa watanzania gizani.
Pengine watu wengi hawajui hali za ndugu zao waliofikishwa kama maiti lakini ukweli ni kuwa kuna misiba mingi mno.
Na ukipewa picha itasema AiPiga picha na simu yako.
Badilikeni na kuacha uzushi wa taarifa sivyo mtaishaNipo Hospital ya Muhimbili hapa tangu tarehe 29 October , nimeshuhudia magari yakisomba maiti nyingi mno.
Siku ya leo kwa mfano nimeshuhudia magari zaidi ya sita yamejazwa miili ya ndugu zetu waliouawa.
Baada ya kuona kama watu wanahesabu idadi ya magari hayo wakabadili njia , mengine yanaingilia Geti la MUHAS , Mengine MNH,
Lakini pia nilitaarifiwa na rafiki yangu daktari kuwa kulikuwa na maagizo ya kuwamalizia majeruhi wa maandamano wanaofikishwa hapo japo yalipuuziwa.
Serikali imezima mtandao na kuwauwa watanzania gizani.
Pengine watu wengi hawajui hali za ndugu zao waliofikishwa kama maiti lakini ukweli ni kuwa kuna misiba mingi mno.
Unataka picha, fungua hapa angalia. Sio tu picha hadi video zipo humuPicha zikwapi? Wengine nyie ni mnasambaza taarifa za uongo. Agents za CCM kuwatia watu Hofu.
www.instagram.com