GE2025 Hapa MUHIMBILI, Miili inayoletwa ni mingi mno, watanzania wengi sana wanauawa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Piga picha na simu yako.
 
Unafikiri watu wataogopa?
 
Unafikiri watu wataogopa?
Ndiyo kwaaanza wanatuamshia ari kwasababu hapo ndiyo wanatupatia sababu ya kwanini hatupaswi kuwa waoga ,maana hata hao wenzetu waliyolala walikuwa kama sisi .

Hatupo mbali na kuifikia siku njema
 
 
Badilikeni na kuacha uzushi wa taarifa sivyo mtaisha
 
Picha zikwapi? Wengine nyie ni mnasambaza taarifa za uongo. Agents za CCM kuwatia watu Hofu.
Unataka picha, fungua hapa angalia. Sio tu picha hadi video zipo humu
 
Saadam Hussein wakati wa utawala wake aliua yeyote aliyemkosoa,pamoja na kuwafunga gerezani,alijilimbikizia mali nyingi mno yeye na familia yake.Mwisho wa uhai wake ulikuwa wa fedheha tujifunze mapema ndugu zangu kabla jua halijazama dunia hii hakuna assurance ya madaraka pesa au mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…