Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!

Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager
a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen

origin.jpg
pager.jpg

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​

Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.

Tuesday 17 September 2024 15:42, UK

Israel huwa inacheza na supply ya vifaa vya maadui zake. Hata miaka ya 1980s ilimuua mkuu wa kundi la kigaidi kwa kubadilisha simu yake na kumpa yenye bomu. Kisha wakampigia simu, wakatuma drone juu ikanasa amepokea ikaruhusu mlipuko akafariki.

Israel pia ilimuua Wadie Haddad kwa sumu ya dawa ya mswaki, maana waliona wakimuua kawaida magaidi wa kundi lake la PFLP aliloongoza lililokuwa maarufu kwa kuteka ndege na kufanya mashambulizi wangelipa kisasi kwa mauaji. PFLP ndio waliteka ndege wakaileta Uganda kwa Iddi Amin.
Huyo walimpa dawa iliyotengenezwa na Taasisi ya Kibaiolojia ya Israeli, dawa ikamuua taratibu baada miezi miwili. Kwa maumivu makubwa, amekonda, amenyonyoka nywele.

Kwahiyo Israel inashiriki kuwa supplier wa bidhaa za adui, humo inaweka vitu fulani. Muda wowote ikihitajika inajua namna ya kuzitumia kwa maslahi yake.
 
Israel huwa inacheza na supply ya vifaa vya maadui zake. Hata miaka ya 1980s ilimuua mkuu wa kundi la kigaidi kwa kubadilisha simu yake na kumpa yenye bomu. Kisha wakampigia simu, wakatuma drone juu ikanasa amepokea ikaruhusu mlipuko akafarik...
Kwa maana hiyo siku hizi tuwache kutumia bidhaa zenye mafungamano na Israel. Kama hatuwezi kutengeneza wenyewe basi tuhamie korea kaskazini,Urusi na Iran.
 
Nimesema wanacheza na supplies. Unadhani hao Hezbollah walinunua hizo pagers kwa Myahudi.
Hizo walinunua kwa Mwarabu mwenzao ambaye naye kanunua kwa supplier mkubwa maybe. Hata ukizifuata bidhaa North Korea lazima uite tender au utumie kampuni iagize. Kwenye hayo makampuni ya kuagiza ndio Israel inakuwa sasa. Kwani kuna Myahudi alikuwahi kanyaga ile nyumba aliyouwawa Haniyeh pale Tehran eneo la ulinzi mkali ila bomu likapandikizwa chumbani? Ni Waarabu haohao
 
Huyo anasaidiwa na wanafiki kule Lebanon ndio wanampa infomation, hakuweza kuiona Hypersonic ya Yemen imetembea 2040 km, anatafuta tension tu aonekane bado yupo yupo kisha aibishwa na Yemen.
 
Huyo anasaidiwa na wanafiki kule Lebanon ndio wanampa infomation, hakuweza kuiona Hypersonic ya Yemen imetembea 2040 km, anatafuta tension tu aonekane bado yupo yupo kisha aibisha na Yemen.
Shambulizi la Israel madhara yake tumeyaona
20240917_182953.jpg

Shambulizi la kombora la Yemen limeua nyasi na vichaka.

Alafu uwezo wa Israel unauita "kusaidiwa na wanafiki". Kwanini nanyinyi msitafute wanafiki wawasaidie.
 
Shambulizi la Israel madhara yake tumeyaonaView attachment 3098888

Yaan Israel ni kituko sasa huyo ni hizbollah? Ni kama anacho fanya gaza anaua raia kwa percentage kubwa anaacha Hamas alafu anategemea vita iishe itaishaje kama wahusika bado wapo? Sasa kuhusu kuua watoto palestine nao wana himizana ndani ya miezi kumi wamezaliwa watoto mara mbili ya waliokufa yaani vita huku pia kuzaliana kunaendelea
 
We una uhakika gani US, UK, France na Germany hawakuhusika hapo? Afu hio nikuficha aibu walikuwa wakijisifu hakuna missiles zinaweza kupenya anga lao sababu ya Israel air defence system kumbe ni tundu tu.

Sawa tulieni tuone Hezbullah atajibu vipi sababu hio ni civilian target sio military target. Mmekosa military target mkaona mfanye cyber attack
 
Napata wakati mgumu kutambua uwezo wa akili wa vijana wa Kiislam wanaoamini Yemen na Hezbollah wanaweza kupigana na Israel

alichofanya leo Israel, moja amevunja nguvu kazi ya Hezbollah, pili ameharibu mawasiliano waliyokuwa wakiaamini ni salama, tatu ni molari ya wanamgambo wa Hezbollah
 
Yaan Israel ni kituko sasa huyo ni hizbollah? Ni kama anacho fanya gaza anaua raia kwa percentage kubwa anaacha Hamas alafu anategemea vita iishe itaishaje kama wahusika bado wapo? Sasa kuhusu kuua watoto palestine nao wana himizana ndani ya miezi kumi wamezaliwa watoto mara mbili ya waliokufa yaani vita huku pia kuzaliana kunaendelea
Hezbollah hawana sare, sio jeshi maalum kwamba kazi ya member ni kuwa full time jeshini. Kimeshambuliwa kifaa kilichotumiwa na Hezbollah. Mwenye nacho atajua kwenyewe taarifa za Hezbollah zilikuwa zinamsaidia nini.
 
We una uhakika gani US, UK, France na Germany hawakuhusika hapo? Afu hio nikuficha aibu walikuwa wakijisifu hakuna missiles zinaweza kupenya anga lao sababu ya Israel air defence system kumbe ni tundu tu.

Sawa tulieni tuone Hezbullah atajibu vipi sababu hio ni civilian target sio military target. Mmekosa military target mkaona mfanye cyber attack
Hezbollah mtoto mdogo mbele ya Israel. Kichapo atakachopokea ni mama mkanye mwanao. Tulieni muone
 
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!

Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager​

a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen

View attachment 3098853View attachment 3098855

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​

Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.

Tuesday 17 September 2024 15:42, UK

Mie katika video nimeona raia madukani ndio wamelipukiwa na hivyo vifaa.
Ila wao watakwambia ni Hizbollah,sasa wamejuaje kama Hizbollah??
Maana video zinaonesha watu super market ndio wanalipukiwa.

Israel bana😂😂😂😂😂😂😂😂😂 halafu mlipuko wenyewe kama wa gesi ikifurumia kwenye soda.
 
Israel huwa inacheza na supply ya vifaa vya maadui zake. Hata miaka ya 1980s ilimuua mkuu wa kundi la kigaidi kwa kubadilisha simu yake na kumpa yenye bomu. Kisha wakampigia simu, wakatuma drone juu ikanasa amepokea ikaruhusu mlipuko akafariki.

Israel pia ilimuua Wadie Haddad kwa sumu ya dawa ya mswaki, maana waliona wakimuua kawaida magaidi wa kundi lake la PFLP aliloongoza lililokuwa maarufu kwa kuteka ndege na kufanya mashambulizi wangelipa kisasi kwa mauaji. PFLP ndio waliteka ndege wakaileta Uganda kwa Iddi Amin.
Huyo walimpa dawa iliyotengenezwa na Taasisi ya Kibaiolojia ya Israeli, dawa ikamuua taratibu baada miezi miwili. Kwa maumivu makubwa, amekonda, amenyonyoka nywele.

Kwahiyo Israel inashiriki kuwa supplier wa bidhaa za adui, humo inaweka vitu fulani. Muda wowote ikihitajika inajua namna ya kuzitumia kwa maslahi yake.
1980S kulikua na "drones"
 
Shambulizi la Israel madhara yake tumeyaonaView attachment 3098888

Shambulizi la kombora la Yemen limeua nyasi na vichaka.

Alafu uwezo wa Israel unauita "kusaidiwa na wanafiki". Kwanini nanyinyi msitafute wanafiki wawasaidie.
Shambulizi la Yemeni lilileta madhara na picha zilitumwa humu labda haujaona.
Pia hii inaonesha Israel ni dhaifu kiasi inashambulia raia badala ya jeshi.
Israel ni dhaifu sana yani hiki kitendo cha kitoto😂😂😂😂.
Na subiri kisasi chake.
 
Back
Top Bottom