Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Kwa maana hiyo siku hizi tuwache kutumia bidhaa zenye mafungamano na Israel. Kama hatuwezi kutengeneza wenyewe basi tuhamie korea kaskazini,Urusi na Iran.
Kama wewe akuue nani ........kifo chako tumemuachia yutiai na gono tu ..........ambao ni wepesi kinyama wamalizane na wewe..........
 
Mimi wakukinga msada? Endelea kuota namshukuru Allah kwa nema alizo nipa, we kamsaidie Paulo kuota chini ya mkunazi 😄
vp wewe umeshawahi hata kutengeneza pipi? si unakula pipi za wazungu kila siku?
 
Kwahiyo Israel inashiriki kuwa supplier wa bidhaa za adui, humo inaweka vitu fulani. Muda wowote ikihitajika inajua namna ya kuzitumia kwa maslahi yake.
Ndio maana sasa nimegundua kwanini vijana walienda kufia Israel
 
Main articles: History of unmanned combat aerial vehicles, Drone warfare, and Civilian casualties from U.S. drone strikes
1972: Ryan Firebee with 2 Maverick missiles
One of the earliest explorations of the concept of the combat drone was by Lee de Forest, an early inventor of radio devices, and U. A. Sanabria, a TV engineer. They presented their idea in an article in a 1940 publication of Popular Mechanics.[7] The modern military drone as known today was the brainchild of John Stuart Foster Jr., a nuclear physicist Lawrence Radiation Laboratory).[8] In 1971, Foster was a model airplane hobbyist and had the idea this hobby could be applied to building weapons.[8] He drew up plans and by 1973 DARPA (Defense Advanced Research Projects Agency) built two prototypes called "Prairie" and "Calera". They were powered by a modified lawn-mower engine and could stay aloft for two hours while carrying a 28-pound (13 kg) load.[8]

In the 1973 Yom Kippur War, Israel used unarmed U.S. Ryan Firebee target drones to spur Egypt into firing its entire arsenal of anti-aircraft missiles.[9] This mission was accomplished with no injuries to Israeli pilots, who soon exploited the depleted Egyptian defences. In the late 1970s and 80s, Israel developed the Scout and the Pioneer, which represented a shift toward the lighter, glider-type model of UAV in use today. Israel pioneered the use of unmanned aerial vehicles (UAVs) for real-time surveillance, electronic warfare, and decoys.[10][11][12] The images and radar decoying provided by these UAVs helped Israel to completely neutralize the Syrian air defenses in Operation Mole Cricket 19 at the start of the 1982 Lebanon War, resulting in no pilots downed.[13]

In the late 1980s, Iran deployed a drone armed with six RPG-7 rounds in the Iran–Iraq War.[14]

Impressed by Israel's success, the US quickly acquired a number of UAVs, and its Hunter and Pioneer systems are direct derivatives of Israeli models. The first 'UAV war' was the first Persian Gulf War: according to a May 1991 Department of the Navy report: "At least one UAV was airborne at all times during Desert Storm." After the Persian Gulf War successfully demonstrated its utility, global militaries invested widely in the domestic development of combat UAVs.[15] The first "kill" by an American UAV was on October 7, 2001, in Kandahar.[16]

In recent years, the U.S. has increased its use of drone strikes against targets in Pakistan and elsewhere as part of the War on Terror. In January 2014, it was estimated that 2,400 people had died from U.S. drone strikes in five years.[17] In June 2015, the total death toll of U.S. drone strikes was estimated to exceed 6,000.[18]

In 2020, Turkey became the first country to use UCAVs in a large, coordinated attack on a conventional battlefield when they attacked forces in Syria. They were used to attack enemy positions, to provide cover for ground forces and to scout for artillery.[19] Drones were used extensively in the 2020 Nagorno-Karabakh war between Azerbaijan and Armenia.[20] Azerbaijan's use of cheaper Turkish TB2 drones was seen as crucial to their victory against the Armenian forces.[21] Drones were also used extensively during the 2022 Russian invasion of Ukraine.[22] Usage of drones offers
Nimejaribu kupitia Google kuna contradictions ila kuna mtu anatajwa mara nyingi anaitwa Abraham kareem alizaliwa Iraq akakulia Israel mwanzoni wa sabni ndio anatajwa ndio baba wa modern drone technology , hapo aliamia Marekani alipoanzisha kampuni
 
Israel kwisha habari yake hamna tena story za zamani sijui alishinda vita siku 6 sasa unalipua pager unauwa raia wa kawaida, wasubiri majibu yao.

Hivi Hezblohah wana akili kweli....Wananunua Pager na kugawa kwa raia.....! Kweli iko kazi...!
 
Kuanzia juzi, hesbolah hawatumii simu za mkononi. Hata uwape bure, Tena ndio kabsaa
 
Kwani 2006 Israel alikimbiaje Bint jubeir??
Hizbollah aliwezaje kumtwanga Israel 2006 kama yeye mtoto!?
Vipi tena mkuu, mbona Hezbollah ni kama kundi la vibaka.
Siku 10 tu za mashambulizi back to back ya Israel tiyari kundi lako la makomandoo lenye silaha kali na maafisa limepoteana.

Nilikwambia Hezbollah hamna kitu mbele ya Israel hukusikia.
 
Vipi tena mkuu, mbona Hezbollah ni kama kundi la vibaka.
Siku 10 tu za mashambulizi back to back ya Israel tiyari kundi lako la makomandoo lenye silaha kali na maafisa limepoteana.

Nilikwambia Hezbollah hamna kitu mbele ya Israel hukusikia.
😂😂😂😂😂😂Aiseee kwani 2006 ilikuaje!?
Israel si alikua akishambulia hivi hivi hadi alipoamua kuingia Lebanon kwa miguu!?
Kesha kikamkuta nini!?
Je alishinda!?
Na mbona bado Hizbollah wanarusha marekoti kuelekea Israel!?
 
😂😂😂😂😂😂Aiseee kwani 2006 ilikuaje!?
Israel si alikua akishambulia hivi hivi hadi alipoamua kuingia Lebanon kwa miguu!?
Kesha kikamkuta nini!?
Je alishinda!?
Na mbona bado Hizbollah wanarusha marekoti kuelekea Israel!?
Eehe kwahiyo hadi sasa Hezbollah wanashinda. Command structure iko wapi, mawasiliano yao yako wapi, mbona mashambulizi hamna wanafyatua rasharasha viroketi viwili vitatu. Ndio nguvu hizi mlikuwa mnatishia nazo? Mbona ni kama mere fugitives tu wala sio organized.
 
Eehe kwahiyo hadi sasa Hezbollah wanashinda. Command structure iko wapi, mawasiliano yao yako wapi, mbona mashambulizi hamna wanafyatua rasharasha viroketi viwili vitatu. Ndio nguvu hizi mlikuwa mnatishia nazo? Mbona ni kama mere fugitives tu wala sio organized.
Wewe unajua nini Hizbollah wanapanga hadi sasa!?
Kuanzia Monday to Wednesday walikua wakirusha rockets mfululizo na zingine zikitokea Syria unauliza command structure iko wapi!??
We tulia tu muda utaongea.
 
Back
Top Bottom