Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Unavyoongea kwa madaha utafikiri una utaalamu wa hayo mambo.Ungeangalia 24 season one wala usingebabaika na hilo,ni tech ya kizamani mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavyoongea kwa madaha utafikiri una utaalamu wa hayo mambo.Ungeangalia 24 season one wala usingebabaika na hilo,ni tech ya kizamani mno
Kama 24 series ya 2002 walionesha hilo swala,bado hiyo itakua tech mpya?!Unavyoongea kwa madaha utafikiri una utaalamu wa hayo mambo.
Wewe binafsi una ujuzi nayo ?Kama 24 series ya 2002 walionesha hilo swala,bado hiyo itakua tech mpya?!
Mimi kuwa na ujuzi nalo na 24 kulionesha miaka 22 iliyopita, vinahusiana nini!?..uliza maswali yenye mantiki babu,acha kuchoshana kingeseWewe binafsi una ujuzi nayo ?
Wanaume hawahitaji Arab League ni ya viongozi walio wekwa karibu 80% na US.Kwan nyie mnashindwa nn kutafuta msaada kama mnaona mwenzenu anasaidiwa, si kuna Arab League??
Acha kujifanya mjuaji wa mambo yaliyokuzidi kimo kama chura kiziwi.Mimi kuwa na ujuzi nalo na 24 kulionesha miaka 22 iliyopita, vinahusiana nini!?..uliza maswali yenye mantiki babu,acha kuchoshana kingese
Hebu lete aibu ya kwenye Quran tuioneHata quran inamwaibisha
Hii kwamba hazina impact kubwa ni kujifariji tu. Israel hapa anamwonyesha adui yake kwamba anammudu na kama akiamua kumfuta anaweza kumfuta tu akilazimika. Kinachomwekea breki Israel asifanye kile alicho na uwezo nacho yaani kuwafuta adui zake ni sheria na kanuni za kimataifa tu. Mfano Israel angeweza kulipua mabomu mawili tu matatu na Gaza au Lebanoni kusini ingeyeyuka kwa sekunde lakini hawezi kufanya hivyo kwa sababu zinazoeleweka.Hizo pager hata zikiripuka hazina impact kubwa Israel kaishiwa 😄
Zitayayuka 😄 nenda shule dogoHii kwamba hazina impact kubwa ni kujifariji tu. Israel hapa anamwonyesha adui yake kwamba anammudu na kama akiamua kumfuta anaweza kumfuta tu akilazimika. Kinachomwekea breki Israel asifanye kile alicho na uwezo nacho yaani kuwafuta adui zake ni sheria na kanuni za kimataifa tu. Mfano Israel angeweza kulipua mabomu mawili tu matatu na Gaza au Lebanoni kusini ingeyeyuka kwa sekunde lakini hawezi kufanya hivyo kwa sababu zinazoeleweka.
Nilifikiri aliuwawa kwa drone huyu jamaaNimesema wanacheza na supplies. Unadhani hao Hezbollah walinunua hizo pagers kwa Myahudi.
Hizo walinunua kwa Mwarabu mwenzao ambaye naye kanunua kwa supplier mkubwa maybe. Hata ukizifuata bidhaa North Korea lazima uite tender au utumie kampuni iagize. Kwenye hayo makampuni ya kuagiza ndio Israel inakuwa sasa. Kwani kuna Myahudi alikuwahi kanyaga ile nyumba aliyouwawa Haniyeh pale Tehran eneo la ulinzi mkali ila bomu likapandikizwa chumbani? Ni Waarabu haohao
Tatizo leo dunia nzima wameisha anza kuogopa kutumia hizo smart phone sababu ya ujinga wa Israel. Kuna nchi nyingi sana wataona kwa usalama wao warudishe mfumo wa zamani ni more safe kwao kuliko hizo technology.Hili jambo ni gumu sana kupata upande wa kushabikia
Hapo kwenye kucheza na supplies za maadui zake, Israel wapo vizuri Sana ndio maana hata walipandikiza Stuxnet kwenye computer za mitambo ya nyuklia kule IranNimesema wanacheza na supplies. Unadhani hao Hezbollah walinunua hizo pagers kwa Myahudi.
Hizo walinunua kwa Mwarabu mwenzao ambaye naye kanunua kwa supplier mkubwa maybe. Hata ukizifuata bidhaa North Korea lazima uite tender au utumie kampuni iagize. Kwenye hayo makampuni ya kuagiza ndio Israel inakuwa sasa. Kwani kuna Myahudi alikuwahi kanyaga ile nyumba aliyouwawa Haniyeh pale Tehran eneo la ulinzi mkali ila bomu likapandikizwa chumbani? Ni Waarabu haohao
Teh teh 😃 😃 dah!Huo ndio ujasusi sasa sio ule wa ndugu zangu wa kusema wamepata intellijensia kwamba maandamano ya Chadema yatakuwa na vurugu
Ndo kinachowabeba Israeli na missad yao ni ukaribu wao na CIA ya marekani ..hebu fikiria hawa Google wana hadi center ya data pale telvvi na ndo inayotumika kutrack watu ..na WhatsApp zoTatizo leo dunia nzima wameisha anza kuogopa kutumia hizo smart phone sababu ya ujinga wa Israel. Kuna nchi nyingi sana wataona kwa usalama wao warudishe mfumo wa zamani ni more safe kwao kuliko hizo technology.
Pili leo nani atawamini US. A Europe kuagiza vyombo vya mawasiliano vya kivita? Au ndege za vita.
Hi si akili kabisa mda utaongea kwanza kawapa fikra watu waovu kumbe PETN tunaweza itumia isigundulike afu analipua ndege huko juu.
Nchi nyingi hata kama hawasemi wa kwanza warabu wataona bora wafata technology za China, Turkey na Mrusi kuliko za hao Europe na US.
hii sio kazi ya Myahudi peke yake, kuna watu pale ulaya wame mrahisishia hii kazi maana ina onekana vifaa vilitengenezwa ulaya hivi(Hungary)Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!
Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??
pager
a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen
![]()
Definition of PAGER
one that pages; especially : a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen… See the full definitionwww.merriam-webster.com
View attachment 3098853View attachment 3098855
Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members
Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.
Tuesday 17 September 2024 15:42, UK
![]()
Pagers explode across Lebanon 'killing 9' and 'injuring thousands' - including Hezbollah members
Hezbollah leader Hassan Nasrallah previously warned the group's members not to carry mobile phones alleging Israel could use them to track their movements.news.sky.com
Hivi vitu Israel peke yake hawezi huu ndio ukweli , kuna watu wako nyuma yake ila wakija kwenye media wanajifanya hawana taarifaNdo kinachowabeba Israeli na missad yao ni ukaribu wao na CIA ya marekani ..hebu fikiria hawa Google wana hadi center ya data pale telvvi na ndo inayotumika kutrack watu ..na WhatsApp zo
Kwahyo unataka kusema ni kina nani ndio wamefanya hilo tukio? Kama sio IsraelHivi vitu Israel peke yake hawezi huu ndio ukweli , kuna watu wako nyuma yake ila wakija kwenye media wanajifanya hawana taarifa
Hizo pagers zimezalishwa Hungary pale ulaya, kwahiyo suala la Israel kuzilipua ni jambo la kawaida, lakini zile zilizokuwa zinatoka TAIWAN huwezi sikia huo upuuziKwahyo unataka kusema ni kina nani ndio wamefanya hilo tukio? Kama sio Israel