Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

Kwa maana hiyo siku hizi tuwache kutumia bidhaa zenye mafungamano na Israel. Kama hatuwezi kutengeneza wenyewe basi tuhamie korea kaskazini,Urusi na Iran.
Tugomee misaada ya Marekani, Uingereza, Ujerumani mna Israel.
Tupokee misaada ya Iran, Syria na Palestina.
 
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!

Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager
a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen

View attachment 3098853View attachment 3098855

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​

Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.

Tuesday 17 September 2024 15:42, UK

Mkuu kwanza kabisa si dazani...ni maelfu ya watu...! Maana Hizbolah walihamisha mawasiliano yao toka kwenye Mobile phones ambazo Israel ina utalamu wa kuzidukua....

Mbinu waliyotumia ni akili tu! Waliaangalia wapi Hizbolah inanunua hizo Pager, ambako ni Taiwan....Wao wakachukua Tender ya kusambaza Ulaya na Middle East, na ofisi ikafungulia Hungary! Hizbolah alipoagiza Taiwan akaambiwa aweza kuagiza toka Hungary! Mchezo ukawa umekwisha! Hizbolah alipoqeka order bila kujitambua akawa anaagiza Pager toka kwa Mosad! na Mosad wakaweka Betri za Lithium ambazo alichanganya pia na Explosive! Kati ya gram 20 to 50......!
 
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!

Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager
a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen

View attachment 3098853View attachment 3098855

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​

Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.

Tuesday 17 September 2024 15:42, UK

World News

What to know about the deadly pager explosions targeting Hezbollah​

NEW YORK (AP) — In what appears to be a sophisticated, remote attack, pagers used by hundreds of members of miliant group Hezbollah exploded almost simultaneously in Lebanon and Syria Tuesday, killing at least 12 people — including two children — and wounding thousands more.

An American official said Israel briefed the U.S. on the operation — in which small amounts of explosive hidden in the pagers were detonated — on Tuesday after it was concluded. The person spoke on the condition of anonymity because they were not authorized to discuss the information publicly.

The Lebanese government and Iran-backed Hezbollah also blamed Israel for the deadly explosions, which targeted an extraordinary breadth of people and showed signs of being a long-planned operation. Details on how the attack was executed are largely uncertain and investigators have not immediately said how the pagers were detonated. The Israeli military has declined to comment.

Why were pagers used in the attack?​

Hezbollah leader Hassan Nasrallah previously warned the group’s members not to carry cellphones, saying they could be used by Israel to track the group’s movements. As a result, the organization uses pagers to communicate.

Pagers also run on a different wireless network than mobile phones, which makes them more resilient in times of emergency. And for a group like Hezbollah, the pagers provided a means to sidestep what’s believed to be intensive Israeli electronic surveillance on mobile phone networks in Lebanon.

Smart phones carry a higher risk for intercepted communications in contrast to pagers’ simpler technology, explained Nicholas Reese, adjunct instructor at the Center for Global Affairs in New York University’s School of Professional Studies.

This type of attack will also force Hezbollah to change their communication strategies, said Reese, who previously worked as an intelligence officer, adding that survivors of Tuesday’s explosions are now likely to throw away “not just their pagers, but their phones, and leaving their tablets or any other electronic devices.”

Where did the pagers come from?​

Taiwanese company Gold Apollo said Wednesday it had authorized use of its brand on the AR-924 pager model and a Budapest, Hungary-based company called BAC Consulting KFT produced and sold the pagers. BAC appears to be a shell company.

Gold Apollo’s chair, Hsu Ching-kuang, told journalists Wednesday that the firm has had a licensing agreement with BAC for the past three years. From the start of 2022 through August 2024, Gold Apollo has exported 260,000 sets of pagers — including more than 40,000 sets between January and August of this year, according to Taiwan’s Ministry of Economic Affairs. The ministry said that it had no records of direct exports of Gold Apollo pagers to Lebanon.

Elijah J. Magnier, a Brussels-based veteran and a senior political risk analyst who says he has had conversations with members of Hezbollah and survivors of Tuesday’s attack, notes that Hezbollah has been using pagers since the 2006 war with Israel.

The newer brand of pagers used in Tuesday’s explosions, he added, were procured more than six months ago. How they arrived in Lebanon remains unclear.

Advertisement
 
Huyu ni Mkatoliki, hawakilishi wakristo wote, anawakilisha dini ya WAROMA.
Kuna:
1.ASSEMBLIES OF GOD.
. 2. KKKT
3. SABATO.
4. ANGLIKAN.
5. BUDHA

Sasa , wewe unatuwekea kiongozi wa dhehebu moja?
By the way, Yesu alikuja duniani kwaajili ya wenye dhambi, na si wasafi.
Hivyo, makahaba, majambazi, wasenge, wafiraji ndio wanao hitajika zaidi kanisani kuliko "wanao jihesabia haki na utakatifu kama wewe"
 
Huyo anasaidiwa na wanafiki kule Lebanon ndio wanampa infomation, hakuweza kuiona Hypersonic ya Yemen imetembea 2040 km, anatafuta tension tu aonekane bado yupo yupo kisha aibishwa na Yemen.
hypersonic gani inaenda kudondokea milimani?
 
Mie katika video nimeona raia madukani ndio wamelipukiwa na hivyo vifaa.
Ila wao watakwambia ni Hizbollah,sasa wamejuaje kama Hizbollah??
Maana video zinaonesha watu super market ndio wanalipukiwa.

Israel bana😂😂😂😂😂😂😂😂😂 halafu mlipuko wenyewe kama wa gesi ikifurumia kwenye soda.
kwani hizbulah wanajulikana vipi? au raia hawawezi kua hezbolah?
 
Israel kwisha habari yake hamna tena story za zamani sijui alishinda vita siku 6 sasa unalipua pager unauwa raia wa kawaida, wasubiri majibu yao.
 
Sawa tutaona mwambie basi America asimsaidie na hao Western kama atabaki hapa hata nusu siku. Anasaidiwa na America na Western na bado anaharisha.
Kwan nyie mnashindwa nn kutafuta msaada kama mnaona mwenzenu anasaidiwa, si kuna Arab League??
 
Halafu wafuasi wake wanakaa na kumsifia.
Ndio uone kuwa Israel ni dhaifu.
Anacholenga yeye ni kuzusha hofu kwa raia wakinzane na Hizbollah.
Hapo atakayelaumiwa ni Hizbollah.
Wanataka kuwakata moto Hizbollah kwa ku install fear kwa raia.
Wajinga sana hawa.
Nyie mnachekesha kweli😆
Kwaio ulitaka Israel atumie mbinu ambazo nyie mmezipitisha, vita ni vita, wewe pita huku mimi napita kule, wewe tumia risasi na mabomu kama ng'ombe mwenzako anatumia psychology tricks.

Nishawahi kuuliza humu jukwaani, Kwann mnaipangia Israel jinsi ya kupambana na maadui zake?? Mbona maadui zake Israel wakiua raia wake mnafyata mikia mnakaa kimyaaa??

Wanafiki wakubwa!
 
Jibu swali,Wayahudi hawakumsulubu Mungu wako?
Ndio, na wayahudi haohao ndo walisafiri na kusambaza habari za huyo yesu waliomsulubisha

jibu swali usiniletee taarabu hapa,swali lipo very clear,
Wewe ndo unaleta taarabu unakuwa kama vile huna lingine la kuongea, mwenzako anaongelea vita we unaanza mambo ya dini, we hujioni kwamba huna akili.
 
Cha kitoro
Shambulizi la Yemeni lilileta madhara na picha zilitumwa humu labda haujaona.
Pia hii inaonesha Israel ni dhaifu kiasi inashambulia raia badala ya jeshi.
Israel ni dhaifu sana yani hiki kitendo cha kitoto😂😂😂😂.
Na subiri kisasi chake.
Cha kitoto!? Kuweza kuingilia mfumo wa mawasiliano, ya wafuasi 2000+! Hezbollah, waliacha kutumia smartphone, wakaamua kutumia pagers, wakaagiza mzigo, Akili kubwa ya myahudi, ikaingilia prduction line ya hizo pagers, au Ika intercept shehena ikiwa njiani,kuelekea Lebanon, wakapandikiza tiny bombs, ndani ya simu, wakasubili mzigo urine, na kila mfuasi wa Hezbollah, kapata yake, wakatuma SMS, kenge walipopokea tu na kuweka sikioni, kitu kikajibu, mi kenge ya Hezbollah, ikajifia,
Hii operation, Hezbollah wenye we wamekili, ni "greatest security breach" Shenz kabisa
 
Usiwe unaropoka kama umelewa wanzuki.
Hilo shambulio la kitoto kwasababu haijaathiri hata 10% ya kikosi cha Hizbollah.
Bali imeathiri zaidi raia wa kawaida.
Chukua tukio hilo fananisha na ulipuliwaji wa kambi nzima ya Galilee North Israel.
Je vinafanana!?
 
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu!

Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine??

pager
a small radio receiver that beeps, vibrates, or flashes to alert the user to an incoming message which is usually displayed on a small screen

View attachment 3098853View attachment 3098855

Pagers explode across Lebanon, injuring dozens of people including Hezbollah members​

Dozens of members of the Lebanese militant group Hezbollah have been seriously wounded after pagers they use to communicate exploded, security officials say.

Tuesday 17 September 2024 15:42, UK

Israel huwa inacheza na supply ya vifaa vya maadui zake. Hata miaka ya 1980s ilimuua mkuu wa kundi la kigaidi kwa kubadilisha simu yake na kumpa yenye bomu. Kisha wakampigia simu, wakatuma drone juu ikanasa amepokea ikaruhusu mlipuko akafariki.

Israel pia ilimuua Wadie Haddad kwa sumu ya dawa ya mswaki, maana waliona wakimuua kawaida magaidi wa kundi lake la PFLP aliloongoza lililokuwa maarufu kwa kuteka ndege na kufanya mashambulizi wangelipa kisasi kwa mauaji. PFLP ndio waliteka ndege wakaileta Uganda kwa Iddi Amin.
Huyo walimpa dawa iliyotengenezwa na Taasisi ya Kibaiolojia ya Israeli, dawa ikamuua taratibu baada miezi miwili. Kwa maumivu makubwa, amekonda, amenyonyoka nywele.

Kwahiyo Israel inashiriki kuwa supplier wa bidhaa za adui, humo inaweka vitu fulani. Muda wowote ikihitajika inajua namna ya kuzitumia kwa maslahi yake.
A Cyber Warfare Technology.
 
Back
Top Bottom