Israel haina kitu kwasababu shambulizi walolifanya 80% limewagusa raia.Kaishiwa vipi ndugu mbona kobazi kwa ubishi mpo vizuri yaani ndugu zako katika imani hezbollah wamekula shambulizi la kiteknolojia majeruhi ni wengi watu wamefurika hospitali hawana makagari, hawana macho, wengine hawana tako, wengine utumbo umevunjika wewe unasema israel haina kitu
Tofauti na Hizbollah ambaye amelipua kambi za jeshi Galilaya na kulenga wanajeshi.
Na sio kwamba hawajui Hizbollah wanapatikana wapi.
Ila wanajitoa akili kushambulia raia.
Sasa subirini kisasi.